Wanawake wa JF acheni Kufunga PM na kutublock kwenye namba zenu za simu sisi tupo kuokoa kizazi kwa kusema ukweli

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu nayo kweli itakuweka huru na kuponya kizazi cha hawa wanawake waliopotea na kupotezwa na hawa kausha damu, chuma ulete na wavaaji wa strap on.

Nyie kausha damu, wadangaji, wanyonyaji, walimu wa uongo na chuma ulete mlio laaniwa, mnaotuharibia kizazi cha mabinti watiifu walioamua kuifata kweli, kumcha Mwenyezi Mungu na kuamu kwa dhati iliyo mioyoni mwao kuwa wake wema kwetu siku za usoni .

Kwanini nyie kausha damu na chuma ulete mlio laaniwa mnatublock kwenye namba zenu za simu na mnafunga PM zenu kukwepa ukweli tunaowaambia nakubakia kuturopokea kwenye comment huku jamvini. Sasa Kama tuyasemayo ni uongo kama mnavyodai kwanini basi mzifunge Pm zenu na kutublock kwenye namba zenu za simu ili msifatwe na huko kuambiwa ukweli hamuoni kufanya hivyo ni kupiga muhuri wa moto kuwa tupo sahihi kuyaweka hapa hadharani, je , mnazani huko Pm, kwenye namba za simu na whatsapp txt zenu hatukusecreen short pamoja na picha zenu kuzihifadhi kama ushahidi wa baadae?
 
NAKAZIA mpk waseme Hawa chuma ulete hawapendi ukwl ukiwaambia wanakujia juu as if tofauti Yao na mbuzi ni position ya madako..
 
Back
Top Bottom