passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,523
- 12,501
Lazima tuwatoe nyie wahuni lazima tuwamize nyie wahuni na machawa hamuwezi kuzuia Tanzania mpya mtamalizwaKaribu barabarani ujishindie kifo na mazishi ya bure nyumbu wewe
Lazima tuwatoe nyie wahuni lazima tuwamize nyie wahuni na machawa hamuwezi kuzuia Tanzania mpya mtamalizwaKaribu barabarani ujishindie kifo na mazishi ya bure nyumbu wewe
🤣🤣🤣🤣🤣Usipo toka utaendelea kushindia maandazi maisha yako yote, na utakufa humiliki hata kijiko.
Fanya upesi kabla ya maandamano.uje pm nko seriousSawa ,ngoja nikuconnectie FOGO wa Arusha mwenye migodi.
umeandika upumbavu mkuu .Taifa lipo kwenye uvamizi wa kigaidi wewe unawaza maandazi mpumbavu mkubwa. Kwenye nature kuna kitu kinaitwa Survival of the fittest. Tafsiri yake ni kuwa watu dhaifu kama wewe ambaye hausimami na raia wengine ni lazima maandazi ukose ili ufe njaa taifa lipate raia makini wachache wajenge taifa imara.
Ni watu kama wewe ndio sababu hadi leo tanzania taifa lenye miaka zaidi ya 50+ ya uhuru bado limenasa katika stage ya umasikini wa kipato cha chini. Ni watu kama wewe ndio hawa matapeli wa siasa wanawatumia kuaminisha jamii kuwa sisi ni masikini na tunatakiwa kuombewa misaada.
Sasa ili sekeseke la mabadiliko ya kimfumo litapita na wapuuzi kama wewe hadi akili ikukae sawa ubadilike. Kama wewe unawaza maandazi unamuwazia nini mtoto wako kesho yake?
Kwahiyo lita tano za mafuta ushajiona ni tajiri🙆♂️🙆♂️Jana maza kanitumia lita 5 ya mafuta ya Alizeti hapa nikajiokotee first year hapo jalalani nipunguze machungu ya kunyanyaswa na Jamhuri
Tujiandae kisaikolojia, kuna ambao tutapoteza kazi, kuna ambao tutakufa nk.NImetoka kumwambia mtu sio muda. Hii kitu ni nature, wakati ukifika umefika huwezi kupambana nao.
Wataua watatesa lakini wataondoka tu.
Away hospitalNI kweli watu wenye changamoto za kiafya watasumbuka! Nina mmoja anajifungua December kwenye tarehe hizo anawaza balaah
Neno utajiri umeliokota wapi?Kwahiyo lita tano za mafuta ushajiona ni tajiri🙆♂️🙆♂️
Si naona unatafuta first year.Neno utajiri umeliokota wapi?
Siyo lazima uwe tajiri ili utafute first yearSi naona unatafuta first year.
KufaShida mmejaa mihemko hamsomi kitu mkaelewa.
Kuna jambo nimeongelea hapo lakini nyie mmetanguliza jazba mbele
Anyway ntakufa Kwa mapenzi ya Mungu.
Mchawi mafuta ya transfomaView attachment 3503635
Kosa ni kurudia kosa
Lakini wao wanaenda kuuwawa na risasi za moto inabidi uchague, kufa kwa njaa au kwa risasi🐼Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Nunua unga debe mbili, maharage na mkaa.Wenye nguvu nendeni mbele aisee.naelewa mnachokifanya ila sio Kila mtu ana Maisha ya akiba ndani.ikitokea lockdown
Acha uchawa jinga weweMaria Sarungi na Mange Kimambi wamejua kuwa shika akili aisee licha ya damu zote kumwagika vile bado tu wanataka zimwagike tena wale wanawake wanaroho ngumu kinoma
Tutafika tuMchawi mafuta ya transfoma
Asante Kwa kucoment boss.karibu tenaTaifa lipo kwenye uvamizi wa kigaidi wewe unawaza maandazi mpumbavu mkubwa. Kwenye nature kuna kitu kinaitwa Survival of the fittest. Tafsiri yake ni kuwa watu dhaifu kama wewe ambaye hausimami na raia wengine ni lazima maandazi ukose ili ufe njaa taifa lipate raia makini wachache wajenge taifa imara.