MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,545
- 11,660
Nenda katoe akiba zenu zote bankMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲