Mnaopanga kuandamana tena

Mnaopanga kuandamana tena

Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya

Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Nawaonea huruma wale ambao ni wajafazito na tarehe zao za makadirio ni mwezi wa 12. Ukisikia kujifungulia nyumbani ndio hiyo sasa
 
Nawaonea huruma wale ambao ni wajafazito na tarehe zao za makadirio ni mwezi wa 12. Ukisikia kujifungulia nyumbani ndio hiyo sasa
😊
Ndo nlichowaambia wao walio fit wasipokua makini watawaponza wasiohusika
Wataponea wapi
Waangalie namana watavyoandamana na busara ikawaongoze
 
Afadhali wewe umeona aisee
Asante Kwa kuelewa
Kizazi hiki hakipokei ujumbe ili wauelewe,Bali wanaupokea ili wajibu.
We appreciate what they do kama njia ya kujikomboa.na sio Kila mtu anapitia njia mororo na amefanikiwa kiasi kwamba atoke hapa akachote pesa bank,ajaze mazaga ndani,wengine unakuta hata jiko Hana bado.mambo ni mengi.na bado anapokaa pa low budget choo kipo nje atatamnai yamkute?
Kuna wengine wanauguza wagonjwa ndani wakipewa lockdown ya siku Tano watatokaje hata usafiri barabarani hamna?
Kuna wengine hawana ndugu hawana pa kwenda waende wapi?
Nlichoshauri ni kwamba wajitahidi kutumia busara na sio kuchoma maduka kama awali na zile riot ndo zinawapa ujasiri upande wa pili kuwacntrol Kwa nguvu..kama wamedhamiria Kwa amani waeenende Kwa amani lakini lolote linaweza kutokea.

Nawatakia Kila la heri
Bado lawama zinarudi kwa serikali. Wangeruhusu maandamano ya amani,na kuwapa escort waandamanaji. Uhalifu usingetokea au ungetokea kwa kiwango cha chini sana.
Shida hapa ni kwamba ukitoka tu serikali inapambana kukuumiza, ndo mana waandamanaji wanafanya wanayoyafanya ili kutoa hasira zao.
 
Uliona ni busara kwanza kuandamana siku ya uchaguzi mkuu?
 
Bado lawama zinarudi kwa serikali. Wangeruhusu maandamano ya amani,na kuwapa escort waandamanaji. Uhalifu usingetokea au ungetokea kwa kiwango cha chini sana.
Shida hapa ni kwamba ukitoka tu serikali inapambana kukuumiza, ndo mana waandamanaji wanafanya wanayoyafanya ili kutoa hasira zao.
Pande zote walikosea
 
Back
Top Bottom