Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,417
- 10,557
- Thread starter
- #81
Kila mtu kajeruhiwa awali..na Kila mtu anawish yasitokee Tena Yale mauwaji. Mimi sitamani wadogo zanguKabla ya hayo maandamao mnapigwa lockdown. Fanya utaratibu kakope kwa mangi. Kukiwasha au kukinukisha hili halikwepeki.
Haiwezekani wauwe ndugu watupotezee.