BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,863
Asante sistaUsiniambie wee!
Haya Kila heri mdogo angu
Tutafanya tathimini na tutapokea ushauri kuanzia tar 25dec
Km utakuwepo utakuwa sio mama ntilie tena!
9dec...
Asante sistaUsiniambie wee!
Haya Kila heri mdogo angu
NI kweli watu wenye changamoto za kiafya watasumbuka! Nina mmoja anajifungua December kwenye tarehe hizo anawaza balaahHapo ushaficha Vitenge vya Samia toka kwa Mwashambwa. .... Dada wa Watu ana Shida ya kweli kiafya sio mzaha.
Afadhali wewe umeona aiseeUlichokizungumza ni sahihi kabisa
Na watanzania wengi wako hivyo ndio maana wengine wanatumia fursa ya kuvunja maduka na ATM wapate chochote kitu badala ya kuandamana kufikisha ujumbe wao
Wengi wamekutukana na kukupa majibu ya hovyo hii inaonesha jinsi gani watu wa aina hii hata wakipata uongozi wanaoupigania watadharau piah sauti za wananchi wao wanyonge
Mmoja hapo amekutukana tusi kali sana halafu ni Diaspora huyo yeye hayupo hapa Tanzania hana experience ya ile lock down tuliokutana nayo hajui ile situation umelala ndani na risasi zinagonga kwenye ukuta wa nyumba tena usiku wa manane
Walio na vyoo vya nje walijisaidia kwenye ndoo hata ndani kutoka mtu unaogopa usije ukala chuma
Safari hii haitokuwa na shida sana kwa sababu cha kwanza watu watakuwa wachache sana hata naowafahamu ambao walitoka mwanzoni hakuna anayetamani kurudi tena
Wamama wanawasihi waume zao hiyo siku hamna kutoka kwenda popote na wengi washaanza mipango kwenda vijijini kusalimia
Hiki kipindi kifupi jichange change usogee mahali ambapo unahisi hapatokuwa na kashikashi au hata kukiwa na kashikashi basi kuwepo na mahitaji ya kujitosheleza either iwe kwa ndugu au hata marafiki
Mbona hujasema na mimi nikimbie mapemaNunua vitu mapema
Lipia king'amuzi
Kama una safari safiri mapema
Kama unasafirisha watoto kwenda kijijini waondoe mapema
Toa hela bank kua nazo cash
Andaa vitu muhimu vya kutolea huduma ya kwanza.
Asante sista
Tutafanya tathimini na tutapokea ushauri kuanzia tar 25dec
Km utakuwepo utakuwa sio mama ntilie tena!
9dec...
Jamaa mropokaji sana huyo na hayupo TzUmeenda mbali kidogo brother. Huyu ana condition ambayo nadhani hajaiweka wazi, nyakati za machafuko watu wenye disabilities wanapata shida zaidi yetu.
Asante ba mkwe.Dah!! Mama mkwe nakuelewa tena nakuelewa sana, lakini kinachoniuma zaidi ni hawa walio madarakani, je wanawakumbuka watu kama nyinyi, kodi zetu wanazochukua na mali zetu za asili zilizojaa nchini, zinakunufaisha mkwe wangu kipenzi..
Kila jambo lina athari zake..
Pole sana mkwe, sitamani uteseke hope unajua hilo.
Ephen umefut comment yako nihamie Burundi hahaaNI kweli watu wenye changamoto za kiafya watasumbuka! Nina mmoja anajifungua December kwenye tarehe hizo anawaza balaah
Sister AbigailNa wenye mawazo kama yako wamejaa tele hasa wakina mama.
Bora uteseke kwa muda mfupi ili upate raha ya muda mrefu.
Hamia Burundi
Mkuu mi simo😄Vumilia kidogo acha nyumbu ziandamane kuiba na kuharibu mali za watu ili ziuwawe maana hazistahili kubaki hai, kinachotafutwa ni justification ya kuwauwa hadi kuwamaliza kwahiyo acha waandamane ili wamalizwe.
Kwahiyo vumilia kula mandazi operation hii ya nyumbu kuliwa na mamba haitumia siku nyingi ni siku mbili tu
Usikimbie mji.Mbona hujasema na mimi nikimbie mapema
Kati ya waoga na mimi nimo
Wabongo wengi ili tule inabidi tutoke muhimu tupande bustani za mbogamboga mapemaKipenzi
Hapana haijatosha acha nyumbu zitoke kuiba na kuharibu mali za watu ili zimaliziwe operation ya kuuwa nyumbu ni ya muhimu sana katika nchi hii serekali haitakiwi kuwa na huruma na nyumbu yoyote.Kweli kabisa Abigail, umeongea really ya maisha yetu kwa ujumla .
Ile ya kwanza imetosha kabisa kufikisha ujumbe .
Kwa sasa hali ni ngumu sana aisee heri wasitishe.
Hakuna kipindi nilichojua natumia madawa ya kulevya aina ya internet kama walivyozima tar 29 yaani sikupata usingiziUsikimbie mji.
We njoo tu maskani utapoa vizuri, kula uhakika, usalama wa kutosha na internet uhakika hata wakizima mkongo wa taifa.
Uko tayari Kwa Kila kitu
Au ndo keyboard warrior
29 ulikua wapi?
Usijali mimi ndo kiboko yao.Mkuu mi simo😄
Nimeoga matusi ya kutosha huko juu
Kabla ya hayo maandamao mnapigwa lockdown. Fanya utaratibu kakope kwa mangi. Kukiwasha au kukinukisha hili halikwepeki.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲