Hamuoni kama ni kukiuka katiba ya nchi? Hamuoni pia ni kuwanyima haki watu wengine kumchagua kiongozi wamtakayeLaki
ni uchaguzi haikuwa wa Hali.wangefanya Nini kuzuia uchaguzi uliogubikwa na wizi?
NakaziaNa wenye mawazo kama yako wamejaa tele hasa wakina mama.
Bora uteseke kwa muda mfupi ili upate raha ya muda mrefu.
Hamia Burundi
🙌Hamuoni kama ni kukiuka katiba ya nchi? Hamuoni pia ni kuwanyima haki watu wengine kumchagua kiongozi wamtakaye
We mpumbavu kazibuliwe kizibo chako mbele huko.
Tuambie wewe dola laki 3 sawa na kiasi gani kwa Tanzania?
Kwa sasa katiba ni kijitabuHamuoni kama ni kukiuka katiba ya nchi? Hamuoni pia ni kuwanyima haki watu wengine kumchagua kiongozi wamtakaye
Hizo dharau zitawatoka puaniMaria Sarungi na Mange Kimambi wamejua kuwa shika akili aisee licha ya damu zote kumwagika vile bado tu wanataka zimwagike tena wale wanawake wanaroho ngumu kinoma
Haki huinua taifaRaha!!.. unaamini CCM ikitoka utapata raha!?..pole sana
Ndugu zetu wamekufa Mkuu kwa ujinga wao kina SarungiHizo dharau zitawatoka puani
Kwamba hutuna akili ya nini kinachoendelea nchini wizi ufisadi na utekaji
Lissu atakuta mifumo ya kumbana kimaamuzi na kiutendaji imemtangulia. Mambo ya kinga ya rais hakuna tena. Mambo ya kutoshtakiwa hata kama ufanye madudu kiasi gani hakuna tena. Mambo ya rais kuwa 'mungu mtu' hakuna tena. Ni mwendo wa adabu mbele,kiburi nyuma.Aikiingia mfano tundu lissu madarakani nae akabehave hivohivo watasemaje mfano😊
Hata akiingia,atakopa tu kama wenzakeAikiingia mfano tundu lissu madarakani nae akabehave hivohivo watasemaje mfano😊
Naunga mkono hoja.Kwanza hili jina la Abigael halikufai badilisha kwanzia leo, jiite hata Wanu au Wanyuko.
Abigael alikuwa ni mwanamke jasiri sana ndio maana alimuokoa mume wake mjinga mjinga na wenzake waliokuwa wanasubiria kifo kwenye mikono ya mfalme dhalimu Daudi.
Sasa ilipaswa na wewe kama symbolic reincarnation ya Abigael uwe ni miongoni mwa wadai haki hiyo 9 December kwa manufaa ya familia yako na vizazi vyako na sio kusambaza uwoga hapa.
....nadhani umesikia lile Zimwi la kizanzibar wakati linahutubia leo, eti linasema rasilimali tulizonazo hazitoshi kutuletea maendeleo itabidi tukope tu...
...sasa hata wewe kwa akili yako unaona hii nchi ina rasilimali chache? Nchi hii ambayo ina utitiri wa rasilimali kila unapokanyaga leo hii unaambiwa eti hazitoshi kukuletea maendeleo, hivyo uendelee tu kushindia maandazi..
Sasa hiyo ndio serikali unayotaka ikuongeze kwa miaka mingine mitano? Hebu acha kuwapa ushindi hawa wadhalimu dada, jiandae tukaikomboe nchi.
toka ukaandamane acha kuwaMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
toka tukaandamane watu kama nyie ndio ccm inawatumia kuendelea kuuwa ndugu zetu bila woga 9/12/ tukutane barabarani wahini wauwaji wa ccm laazima waishi kwa tabu kama watz tunavyo ishi kwa tabu saiziMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Sawa ,ngoja nikuconnectie FOGO wa Arusha mwenye migodi.King Kong ntakubabuaaa🤣
Haya nipe mubaba mmoja nijaribu
Safari hii hata muandamanaji mmoja akiuawa nyie machawa wote mnauawaVumilia kidogo acha nyumbu ziandamane kuiba na kuharibu mali za watu ili ziuwawe maana hazistahili kubaki hai, kinachotafutwa ni justification ya kuwauwa hadi kuwamaliza kwahiyo acha waandamane ili wamalizwe.
Kwahiyo vumilia kula mandazi operation hii ya nyumbu kuliwa na mamba haitumia siku nyingi ni siku mbili tu
Karibu barabarani ujishindie kifo na mazishi ya bure nyumbu weweSafari hii hata muandamanaji mmoja akiuawa nyie machawa wote mnauawa