Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,406
- 10,537
- Thread starter
- #21
Usiniambie wee
Utakufa masikini
Utakufa masikini
Hayo yote uliyoandika ni machache miongoni mwa mengi yanayosababisha maandamano ya 9/12. Kwa vile wewe unaumwa, baki uombee tunaotoka.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Amina Asante kipenziHili jina abigail limenikumbusha mbali sana, mungu akubariki Sister Abigail
Haya maombi yalipaswa uyafikishe kwa JIMAMA Samia ili aachie nchi kwa amani.. vinginevyo utaishi hayo maisha magumu unayolalamikia leo miaka kwa miaka, na watoto na wajukuu na vitukuuu,... vilembwe na vining'ina vikija vitakojolea kaburi LAKO kwa kutochukua hatua na wenzako tarehe 09 Disemba 2025.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Tena safari hii msosi ndani ununuliwe november, kusubiri hadi december watu 1st D watapandisha vitu beiView attachment 3503635
Kosa ni kurudia kosa
DaahUkombozi wa taifa huwa nature inaachwa ifanye maamuzi..
Kweli kabisa Abigail, umeongea really ya maisha yetu kwa ujumla .Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Kwa maandamano ya amani yule aachie nchiHaya maombi yalipaswa uyafikishe kwa JIMAMA Samia ili aachie nchi kwa amani.. vinginevyo utaishi hayo maisha magumu unayolalamikia leo miaka kwa miaka, na watoto na wajukuu na vitukuuu,... vilembwe na vining'ina vikija vitakojolea kaburi LAKO kwa kutochukua hatua na wenzako tarehe 09 Disemba 2025.
Kenge mkubwa , na uwe fukara siku zote.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Nunua vitu mapemaTena safari hii msosi ndani ununuliwe november, kusubiri hadi december watu 1st D watapandisha vitu bei
Kenge mkubwa , na uwe fukara siku zote.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Sister kwanni uishi maisha magumu au umesahau kauli y alhaji Al Hassan Mwinyi "Uchumi unao umeukalia".Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Hawa vijana Wana jazba aisee na vibaka wakijichanganya watwapinza Tena kundi Zima.Kweli kabisa Abigail, umeongea really ya maisha yetu kwa ujumla .
Ile ya kwanza imetosha kabisa kufikisha ujumbe .
Kwa sasa hali ni ngumu sana aisee heri wasitishe.
@Sister AbigailNaelewa mdogo angu na najua mnachopigania.ila
Au basi
King Kong ntakubabuaaa🤣Sister kwanni uishi maisha magumu au umesahau kauli y alhaji Al Hassan Mwinyi "Uchumi unao umeukalia".
Alitumia busara sio mihemko lakini.unakumbuka?@Sister Abigail
alimuokoa mumewe asiuuwawe na mfalme Daud
Acha uwoga toka ukapambane hta ukikaa ndani watakufuata
Bora uingie road upambanie nchi yako.
9dec...
Mi Hustler sio mwalimu wanguKwani walimu nao washaanza kupewa bando au buku7 per day, hii tunaijua ndo njia yenu mpya kutisha watu
ASante mkuuAcha wachache wafe kwa ajiri ya kujenga taifa la kesho
Pole Sana mkuu