MMU hot talk

MMU hot talk

NAKUGURANTEE,,NEXT HOT TALK WILL NEVER BE THE SAME......

MY PREDICTION`S ON NEXT HOT TALK
  1. INTERVIEWEE WILL BE VERY PRE-CAUTIOUS
  2. A VERY NEW/UNKNOWN INTERVIEWEE
  3. PROBABLY NEVER WILL BE ANOTHER ONE
CC:BATTALION COMMANDER OUT OF AMMUNITION ( lara 1)

Hommie,yo' gal Lara1 has been in this thing f'yearz,it made her an animal,her and her gal Angelita made rulez to this shit makin 'em all b**tchez bow down...
 
Ndio nasema hivi huwezi jua kama mimi ni mtu mzima au mtoto...
sababu unijui na mimi si NK ...NK ni jina la mtandaoni...

Sijaona popote nilipozidisha dozi...
I just called a spade by its name...

Si kila issue ni kubembelezana...'oohh mdogo wangu acha si vizuri kuchukua waume za watu'
Wakati mwingine kutumia 'za uso strategy' ina work zaidi...

Na nshasema before and i repeat...sitaki huruma ya kuwa naharibu heshima...
Huwezi jua kama nina hiyo heshima at first place

Save your pity for those who need it

Mh!!! utakuwa na tatizo ndugu yangu, kuchangia humu ndani si lazima mfahamiane, ni kila mtu mwenye upeo anaruhusiwa. Upo sawa kweli???? maaanaaaa???????:angry::angry::angry::angry:
 
Kumbe unajua hatujuani...
Why now unani compare na hao heroes wako kuwa mimi mzee kwao??? mara najivunjia heshima kama unajua kuwa ninayo vile...next time jipange...wengine humu tuna vifua extra:angry:
 
I'm cold chillin' hommie....

Just flabbergasted to see this claptrap going on.

But then again I shouldn't be all that surprised.

Feelin nice seein' u brother doin u...saw 'em ladies in here catchin feeling'z like b.i**tchez,cursin each other an' shit..
 
hommie,yo' gal lara1 has been in this thing f'yearz,it made her an animal,her and her gal angelita made rulez to this shit makin 'em all b**tchez bow down...

...as you said ''ganstar keyboard''...she scripts what she advocates very skillfully....but does it casually..
OTHERS ARE JUST FOOTSOLDIERS FOLLOWING LIKE HEADLESS CHICKENS.....
 
Kumbe unajua hatujuani...
Why now unani compare na hao heroes wako kuwa mimi mzee kwao??? mara najivunjia heshima kama unajua kuwa ninayo vile...next time jipange...wengine humu tuna vifua extra:angry:

Pole sana, ninashukuru nimekufahamu mind yako kupitia huu uzi, nilikuwa najua unaheshima sana kume hamna kitu, ila utakuwa na tatizo , na umeamua kumalizaia hapa hasira zako hata kwa watu ambao hawahusiki, mm nilkuwa nataka kukusihi uache kubishana nao, naona umeamua kujibizana nami, tafadhali mm nina amani ya moyo na roho, kazi kwako wewe , inaonyesha una matatizo makubwa, nenda kaombewe upate amani.
 
...I could tell...a new footsoldier wanted to buy the case at a bargain price....unfortunately...she met a seller who lead the market...
 
Keep your advice to yourself...
Wengine kubishana ni hobby...!

Ungekuwa unanifatilia humu JF ungeshalijua hilo...napenda ubishi ...

Najua huwezi nifuatilia zaidi ya huu uzi kwani wewe unachovutiwa nacho ni mada kama hizi tu hili uwape shavu like minded wenzio...

Kama ulijua uhusiki ulichomoza pua yako humu ya nini...poye mama....

Pole sana, ninashukuru nimekufahamu mind yako kupitia huu uzi, nilikuwa najua unaheshima sana kume hamna kitu, ila utakuwa na tatizo , na umeamua kumalizaia hapa hasira zako hata kwa watu ambao hawahusiki, mm nilkuwa nataka kukusihi uache kubishana nao, naona umeamua kujibizana nami, tafadhali mm nina amani ya moyo na roho, kazi kwako wewe , inaonyesha una matatizo makubwa, nenda kaombewe upate amani.
 
Keep your advice to yourself...
Wengine kubishana ni hobby...!

Ungekuwa unanifatilia humu JF ungeshalijua hilo...napenda ubishi ...

Najua huwezi nifuatilia zaidi ya huu uzi kwani wewe unachovutiwa nacho ni mada kama hizi tu hili uwape shavu like minded wenzio...

Kama ulijua uhusiki ulichomoza pua yako humu ya nini...poye mama....
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi, au umezalishwa ukaachwa hapo chini na watoto unahangaika nao, (Kama walivyokuwa wanakwambia) pole sana sasa hilo si suluhisho la kumbadili mumeo, tazama wapi umekosea na rekebisha, usigombane na wasichana utaumbuka. pole sana.
 
Sasa na wewe unaleta vituko, unamkataza NK aache ligi halafu wewe ndio kwanza umevaa jezi unaingia uwanjani na umejipa cheo cha utabiri wa maisha ya NK kabisaa, sasa wewe hapa busara yako iko wapi?

Unahubiri amani uku umeficha mapanga.
 
Really? Yaani kupitia mabandiko yake humu tena kwa jina bandia lakini wewe umeamini kwamba ana matatizo kwenye ndoa yake?

You must be gifted!

The question is ana uhakika hata wa hiyo ndoa? Na anajuwaje jinsia yake?

geniveros mbona umefuta comment zako nzuri? Umechimbiwa mikwala uko pm?
 
Last edited by a moderator:

hahaaaaa!!!hamna bwana
binafsi nimemkubali NYUMBA KUBWA jina linasadifu yaliyomo
ameonyesha dhahiri msimamo wake bila kuyumbayumba
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi, au umezalishwa ukaachwa hapo chini na watoto unahangaika nao, (Kama walivyokuwa wanakwambia) pole sana sasa hilo si suluhisho la kumbadili mumeo, tazama wapi umekosea na rekebisha, usigombane na wasichana utaumbuka. pole sana.

Ghafla nimekuwa na ndoa tena?????

Keep on guessing...

Na umenisaidia nijibu yale ambayo nili overlook...

Unasema simuwezi Lara1 kisa ni mtoto wa Kino?

Wewe dar unaijua?
Kino ni kisiwa cha mtu mmoja?

Kama unaishi Dar utakuwa umeletwa na mbio za mwenge si bure...
 
Back
Top Bottom