sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 798
Huyu mwanamke Nyumba Kubwa nimemkubali sana...ndo maisha ya sikuhizi yanavyotakiwa yawe msimamo..hahaaaaa!!!hamna bwana
binafsi nimemkubali NYUMBA KUBWA jina linasadifu yaliyomo
ameonyesha dhahiri msimamo wake bila kuyumbayumba