Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Kinachoendelea mwambie mtu mzima mwenzako asirudi hapa nyumba kubwa.
Maana nasikitika kuona anatukanwa na wadogo zangu.
Na ukiamua kushindana na watoto watakutukana na wewe unakazana kurudisha ni lazima watakushinda tu, maana yeye ana moja wenzake wana mia moja, nashangaa sana anataka kushindana kuongea na Lara1, mwenzie kakulia kinondoni anajua mitaa yoooote, na njia zoooote, sasa sisi watuwazima na wahamiaji usibishane na mwenyeji.