MMU hot talk

Mmh... kwani huyo mwanaume hajui afanyalo??
 
Anajua alitendalo,ila kama sehemu ya jamii tunajukumu la kumueleza ukweli,lakin ni mwanamke ndo aliejinadi kua anatembea na mme wa wa mtu.Nilichokifanya ni kumuonya uyo dada,lakin kaonesha kua bila uyo mme wa mtu maisha hayaendi.Ata wewe unajua ulifanyalo.
 
Haahahaaaaaa! Ile ilipata REPORT ABUSE 500, Tukapigwa BAN kuanzia HOST, MGENI, FUNDI MITAMBO, HAT SISIMIZI ALIEKATIZA ULE UZI ALIPIGWA BAN! Hahahaaaaaaaa! Na uzi uadilitiwa PERMENENTLY kwenye saver za MMU! Hahahaaaaa!
Alaaaa....
Irudiwe
 

Niko hapa. Wakiwa tayari uniambie..... si unajua kuta huwa haziongei?
 

Hahahaa haaaa
Lara1 ss utajuaje km mtu kasema kweli au uongo!
 
Mmmmmmmmmh..... lara 1 napata mashaka au ndo mume wa kwenye keyboard????? Nae aonekane yumooooo hahahahaaaaa wonders shall never end uwiiiiiiiiiiiiiii.

Hahahahahaha....mtaua mtu nyie...
 
Last edited by a moderator:
Naomba mm usiniweke kwenye mgeni mualikwa tafadhari maana sikuiz cjui hata kuongea ukorof umeisha kwa kifup ntashindwa cha kujibu.....mie wacha nieendelee na kazi yangu ya kukufuta jasho tu

Mmmmh mamy informed consent si inahusika hapa kwani unakurupushwa tu?
 
Ukisema we bikra we ni mwongo....ukisema huna boifrendi we ni mwongo. Hahaaa this is Jf bwana

Hahahaa haaaa
Hayo ya kawaida bt wapo mabikira ujue.....hope Hawawez kuuliza maswali km haya
Kuna mengine km haya ya kutoka na mme wa.mtu coz wapo ambao kweli they don't. ..ss akisema cjawahi wakat anafanya je?Hahahaa
 
Hahahaa haaaa
Hayo ya kawaida bt wapo mabikira ujue.....
Kuna mengine km kutoka na mme wa.mtu coz wapo ambao kweli they don't. ..ss akisema cjawahi wakat anafanya je?Hahahaa

Ndo unatakiwa useme sasa hata kama hufanyi....yan hata kama huna boifrend sema ninao watatu na mmojawapo ni mume wa mtu. Huo ndo ukweli ukisema vinginevyo we ni mnafiki na unatafuta soko lol
 
Ndo unatakiwa useme sasa hata kama hufanyi....yan hata kama huna boifrend sema ninao watatu na mmojawapo ni mume wa mtu. Huo ndo ukweli ukisema vinginevyo we ni mnafiki na unatafuta soko lol

Hahahaa haaaa
Nimecheka
Nway najua sio wote wanaweza kuwa wawazi...
Btw humu hakuna soko utaliwa ubaki unalia....Heheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…