MMU hot talk

MMU hot talk

Hahahaaaaaaaa! TOO LITTLE FOR MY LEAGUE! BRIGEDIA GENERAL Saivi naingia in command, wont have time for your little chatts! Sorry but I GOT TO FOCUS!

Hhahaaa...Lara1 una mikwara best....kila siku ni "brigedia",sijui "jeshi la mtu mmoja",sijui "ISIS"....halafu sijakuona umeshinda hata siku moja
 
Wanaomba poo kiaina...

Hapo wanaombea wafungiwe ili wasionekana wamekimbia mziki mkubwa...

Na Mods wamekauka...

uliombewa ruhusa u bibi la bibiiii ndo mana hushangai haufungwiiiiii kama ule mwingine mlioureport
 
Tatizo lenu ndo hilo mkipewa ukweli mnakimbilia kwenye matusi au na hiyo inakuongezea cv?!!!...maana cv zenu za kishamba mnazitoa kubrag kwenye mambo ya kishamba kishamba tu, hapo nlipopigia mstari ndo shida nyingine ilipo kujulikana JF nayo ni dili sana..!!?? au mnafanya haya humu ili mjulikane..?! then mkishajulikana nini kinafuata..?

Labda ukiwauliza wewe watakujibu...
wenzetu JF sijui wamejiunga kwa malengo yapi...
Mara party...mara najulikana...
Waulize labda leo watatujibu:llama:
 
Haaaaaa miss neddy next time swali la mume wa mtu lisiwepo au hata ukiulizwa sidhani kama jibu honest litakuepo.. hasa baada ya attack ya leo.

But this is really Hot Talk haichoshi kufatilia

Liwepo tu , chuki na unafki wa watu watatu au wawili usitunyime Uhuru humu...... Hayo mambo yapo kote kote ila kuna watu wapo tu kwenye denial period . ni kama walishawahi kuumwa na nyoka sasa wakiguswa na jani tu ishu.
 
Last edited by a moderator:
Wapo file kwamba hata kwa party ulionekana hujifichi nyuma ya keyboards.... na tunakujua vizuri sana sio hao wanafiki wazeee.
Halafu we lara 1 yule last born wako umeshamsimamia kufanya homework?maana naona unavyojishebedua wakati mtoto wa miaka 6 anatakiwa asimamiwe homework...

Hahahaaaaaaaaaaa! Mie tenaaa BIBI LA BIBI NIMFANYISHE HOME WORK NICHAMBE SAAA NGAPI VITOTO VYA 20S? Nakula na nyie sahani moja! Unaulizia last born FIRST BORN JE?

Ndo nasemaje HATA KAMA NIMEKUWA BIBI LA BIBI NABANANA NA NYIE VISICHANA ONLINE MPAKA KIELEWEKE!

Pigeni magotti mkifika umri wangu muwe na BETTER THINGS TO DO sio kuchambana na vi Angelita vya wakati huo! Mumwe hata na waume wa kuwa keep busssy, manake mie ZEE ZIMA ONLINE SIKU 2 KUCHAMBANA NA VIBINTI MCHEZO! BWAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi namshangaa tuko naye humu usiku na mchana na leo siku ya kukaa na familia mkaenjoy, hivi una mume kweli wewe lara 1, afu naona umetumia mbinu ya Sitti Mtemvu unadai una 39+ile 11 uliyopunguza dada angu amu nisaidie hesabu
 
Last edited by a moderator:
Mwendawazimu mpeleke vile anavyotaka ili afurahi na nafsi yake.

Mnakimbia mada, mkuu wewe na group lako makae mkijua tu umaskini si ugonjwa, na wala si kitu cha aibu kusema wewe na maskini, try to get ou of that shell la maigizo maigizo...
 
Mimi namshangaa tuko naye humu usiku na mchana na leo siku ya kukaa na familia mkaenjoy, hivi una mume kweli wewe lara 1, afu naona umetumia mbinu ya Sitti Mtemvu unadai una 39+ile 11 uliyopunguza dada angu amu nisaidie hesabu

:llama::llama::llama::cool2::cool2::cool2::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::laugh::laugh::laugh::clap2::clap2::clap2:
 
Liwepo tu , chuki na unafki wa watu watatu au wawili usitunyime Uhuru humu...... Hayo mambo yapo kote kote ila kuna watu wapo tu kwenye denial period . ni kama walishawahi kuumwa na nyoka sasa wakiguswa na jani tu ishu.

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! WANASTUKA WANAPIGWA SHOTI ZA UMEME WAMEFUNGASHIWA VIRAGO, BASI WAKIONA KIMADA PRESSURE INAPAND NA KUSHUKAAAA WANAKUMBUKA ROYAL MARRIAGE! Hahahaaaaa! Maisha kupokezana vijiti tu!

OLE WAKO MISS NEDDY SWALI LISIWEPO? IKIBIDI LIWE LA KWANZA KABISAAAAAA! Mambo yapo kwenye jamii na lazima yaongeleweeee!
 
Mimi namshangaa tuko naye humu usiku na mchana na leo siku ya kukaa na familia mkaenjoy, hivi una mume kweli wewe lara 1, afu naona umetumia mbinu ya Sitti Mtemvu unadai una 39+ile 11 uliyopunguza dada angu amu nisaidie hesabu

Jamani Angelita yaishe....punguzeni jazba...hii ni internet tu....yaani imekua all out war kabisa....yaishe jamani
 
Last edited by a moderator:
Hhahaaa...Lara1 una mikwara best....kila siku ni "brigedia",sijui "jeshi la mtu mmoja",sijui "ISIS"....halafu sijakuona umeshinda hata siku moja

mkuu umenichekesha sana...wakati mwingine mtu anaweza kuzungukwa na watu wanamjaza na mtu nae anajiona yupo angani
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Mie tenaaa BIBI LA BIBI NIMFANYISHE HOME WORK NICHAMBE SAAA NGAPI VITOTO VYA 20S? Nakula na nyie sahani moja! Unaulizia last born FIRST BORN JE?

Ndo nasemaje HATA KAMA NIMEKUWA BIBI LA BIBI NABANANA NA NYIE VISICHANA ONLINE MPAKA KIELEWEKE!

Pigeni magotti mkifika umri wangu muwe na BETTER THINGS TO DO sio kuchambana na vi Angelita vya wakati huo! Mumwe hata na waume wa kuwa keep busssy, manake mie ZEE ZIMA ONLINE SIKU 2 KUCHAMBANA NA VIBINTI MCHEZO! BWAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

Mume utampata wapi hapo umezalishwa watoto na bora wangekuwa na baba mmoja hahahahahahahaaaaa, chezea waume za watu.

Bibi la bibi usikate tamaaa mbona Natasha kapata wakumfuta machozi uzeeni, afu nakuomba usitubemendee waume zetu watarajiwa sie wa 20s.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! WANASTUKA WANAPIGWA SHOTI ZA UMEME WAMEFUNGASHIWA VIRAGO, BASI WAKIONA KIMADA PRESSURE INAPAND NA KUSHUKAAAA WANAKUMBUKA ROYAL MARRIAGE! Hahahaaaaa! Maisha kupokezana vijiti tu!

OLE WAKO MISS NEDDY SWALI LISIWEPO? IKIBIDI LIWE LA KWANZA KABISAAAAAA! Mambo yapo kwenye jamii na lazima yaongeleweeee!

Lara1 acheni ugomvi bwana...sio kwamba kuna mshindi...we don want this to get any uglier....kihoja NK aliwashinda,ugomvi mmeshinda...haya u are all winners
 
Mimi namshangaa tuko naye humu usiku na mchana na leo siku ya kukaa na familia mkaenjoy, hivi una mume kweli wewe lara 1, afu naona umetumia mbinu ya Sitti Mtemvu unadai una 39+ile 11 uliyopunguza dada angu amu nisaidie hesabu

Mume ninae jamaniiii SI WA KWENYE KEY BOARD HUMU!!!!!!!!!!!! BWAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Last born ana 6 yrs hata kama KUZAA VODA FASTAAA SI KIHIVO JAMANIIIIIIIIII! Bwahahaaaaaaaa! Ndo ushange 40 inanigongea mlangoni, situlii nikawaangalia wanangu busy NAWACHAMBA HUMU NDANI 24/7

Afu kinachoniuma hata sijui nini? MWENYE MUME WAKE ANAEMEGEWA JUMAPILI HII KESHAKAGUA HOME WORK, KACHEZA NA WANAE, MIE NAKUFA NA SIMU, VIBINTI NIMEVIPITA NEARLY 20 FU.CKING YEARS Hapo mbinu za Sitti ndani tunachambana ilele, BASI ROHO YANGU BARIDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

Haiwezekani mchukue waume za watu niwanyamazie! Mmezidi sanaa nyie watoto! Wewe amu wa kusema mimi SURA IMENISHUKA KAMA UWARAZA WA PUSI???????? KWELIIIIIIIIIII? BWAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu huyu lara 1 ana miaka 50 halafu anajitia 30.
chezea real life uswazi at her age the only assets which she have is her laptop..
Halafu mdogo wangu una 23 una kiwanja kiromo na msingi juu mkoko ndo unaelea Indian ocean lazima grand maaa lara 1 ashinde online 2 days......
Mimi namshangaa tuko naye humu usiku na mchana na leo siku ya kukaa na familia mkaenjoy, hivi una mume kweli wewe lara 1, afu naona umetumia mbinu ya Sitti Mtemvu unadai una 39+ile 11 uliyopunguza dada angu amu nisaidie hesabu

Huree mdogo wangu na miezi 3 midogo ongezea mwaka akufungulie na kampuni umuajiri first born wa lara1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom