amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Wewe shida yako unitafutie ban....
Kama hapo ulivyohangaika uzi ufute hao uliowasumbua wakakataa....
Kweli town imeingiliwa.....
Kama hapo ulivyohangaika uzi ufute hao uliowasumbua wakakataa....
Ha ha we nae wajiita mutoto ya town?Hapo mwenyewe ndio unajisifiaaaa kuwa umenitukana...
Kachukue kozi upya...
Nenda manzese simama masaa 3 afu rudi tena...
Mimi mtoto wa mjini hayo si matusi kabisa kwangu...
Jaribu tena...
Kweli town imeingiliwa.....