MMU hot talk

MMU hot talk

KIGEZO CHA KUALIKWA HOT TALK UWE TAYARI KUWEKA ALL CARDS ON THE TABLE!!!!!!!!! Kamamnafiki huqualfy kualikwaaa! Wala hutoalikwaaa! lengo la shoo ni kuwapa watu chansi TO BE THEMSELVES DESPITE UNAFIKI NAFIKI WOTE WA JF!
Swali litakuwepo na litajibiwa HONESTLY nsababu mgeni rasmi lazima AWE HONEST PERSON!

Mie sihitaji hata kualikwa ulionifanyia kipindi kile inatosha.....,

Huwa inakua siku gani next time nifatilie kuanzia mwanzo
 
lara 1 already woozy and funky...just cool off
your natural persona's aint that much worse...

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! You bet! Michambo ndo uwanja wangu wa nyumbani kabisaaaaaaa! Mchambwaji tu ndo ana badilika! Hushangai nimejirudisha fastaaaaaaa! SITAKI KUPITWA NA BWANA PEPSI! Kooooote kule nilikua nataka hapa tu, nirekodi UBUYU WA FILE ZA NSA, Nalala mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaa! Hapa nitachocheaje sasa? Acha kabisaaaa!
 
aisee mi ndiyo naiona sasa hivi.. miss neddy na yeye kwa mambo ya kimya kimya hajambo..

real angelita kahendle hii kitu kwa uzuri kabisa..
japo sijaweza kufuatilia page zote

Yeah kajitahidi amekua very honest, muwazi na kaweza ku handle zile attacks zote angekua mwingine angeshadis appear.. ..

Uko poa lakini buddy
 
Last edited by a moderator:
Mie sihitaji hata kualikwa ulionifanyia kipindi kile inatosha.....,

Huwa inakua siku gani next time nifatilie kuanzia mwanzo

Hahahaaaaaaaa! SUBIRI UALIKWE NDO UKATE BIBIE! Hahahaaaaaaaaaaaaa! Inakuwaga Ijumaa Jioni kutegemeana na ratiba za Miss Neddy! SI YA KUKOSA NDUGU YANGU!
 
Mm ndo nimeiona leo kwa Mara ya kwanza , nasikia ijumaa.....
Watafunguka tu , hot talk is for hot individuals..... Kwani kuna mtu anampatia pumzi mwenzake humu.

Hakuna kila mtu anaishi maisha yake.

Usiku mwema doc.... nitaendelea kusoma Kesho.. I hope mode hawataiondoa hii kama ilivyoondolewa nyingine.
 
MLIVOKUWA MNA MSULUBISHA ANGELITA SIO UGOMVI ULEEEEEEEE? Aaaaaaaaahhhhhh! Zile hoja tuuuuuuu eeeeeeeeeh! MKUKI KWA ANGELITA KWA WENGINE MCHUNGUUUUUUUUU!

Mtoto wa watu kajikaza sanaaaaa, toka juzi mnamtukana DOUBLE DOUBLE TOKA KILA UPANDE! MBONA HUKUSEMA SIO VIZURI KUMNYANYASA MTOTO TENA WAMEZIDI KARIBIA 20 YRS? ULIKUWA WAPI?

SAIVI ANAWAVUA NGUA WATU WAZIMA HAPA KWA SUPPORT YA WATU WALIOCHUKIZWA NDO MNALETA USULUHISHI EEEEEEEEH! Acheni kupendelea!

Umeshinda mama,happy now?....Yanini kuanza ku catch feelings kwenye net?....mi naona hamtafika mwisho na hii vita....si ajabu mkaripotiana TCRA ujue,vifua havilingani....
 
Back
Top Bottom