Hapo sasa ndo umeongea kule mwanzo ulikua unaleta maigizo tu, maana ulikuwa una brag kama ni kitu kizuri sana, ngoja nikupe stori ya dada zangu, ni kweli tumezaliwa maskini sana( sio aibu maana Africa 80% ni maskini) maana umesema hapo asa if ni kitu caha aibu kuzaliwa kwenye familia maskini na nina dada wawili wamesoma mmoja mwanasheria, mwingine ni mfamasia na ni kweli walipigwa free p(kama mnavyoita) kwa sake ya kutengeneza mahusiano, then mapenzi then ndoa then wanawatoto...wametoka familia maskini sana lakini sasa hivi wako njema hayo magari unayouza k(papuchi) kupewa wao wanayo wanayabadilisha tu , hawakuuza k papuchi pamoja na umaskini wao, walipigwa for the sake ya kutengeneza familia....nyie jidanganyeni hapo na wenzako na vimisemo vyenu vya kishamba mkidhani maisha yapo kama hivi mnavyodhani na kudhani ni ujanja sana mpaka kuja kuanika huku kwenye miatandao si ujanja hata kidogo ni USHAMBA ..