....na kwa taarifa yako haji..........(imekura kwako),.....kapeleka familia yake ''picnic''
Too bad he came! hahaaaaaaaa! We siku jaribu kufanya ubaya uone kama utakwamaaa! sucess level 100% Shetani anakusaidia ili akuchome vizuri!
taratibu miss neddy mi sina vituko bana!hahahhaa CYBERTEQ ana vituko hatariii
Na uende ibadani..ujute na kutubu...usisingizie hangover ya upweke wa jana...
It's a real hot talk. Thumb up miss neddy
Mkuu wewe ni Malaika?
Bonge la swali isije kuwa anaangalia upande wake tuangelita as long as unatoka na mume wa mtu, vipi huyo mke wa jamaa unamfahamu/ulishawahi kumuona? Na ulijisikiaje/unajisikiaje ndani ya nafsi yako kuona kwamba unachukua share ya mwenzio?
Je, ushawahi kuchunguza ama kutokea ukajua treatment ambayo jamaa anatoa kwa mkewe na familia yake kiujumla? If yes zikoje ukilinganisha na zile huduma upatazo wewe?
Hata Di Maria ni malaika...bila kumsahau Merkel..
Jifunze kujibu maswali kwa usahihi, nimekuuliza wewe ni malaika?
Unadhani wewe hauitaji toba kwa madhambi uliyonayo?
Wakati ukifika bado chaguo langu halitakuwa huyu ni mtu mwingine tu asiyekuwa mume wa mtu, ambaye Mungu atakuwa amenizawadia.
Haahahaaaaaa! Ile ilipata REPORT ABUSE 500, Tukapigwa BAN kuanzia HOST, MGENI, FUNDI MITAMBO, HAT SISIMIZI ALIEKATIZA ULE UZI ALIPIGWA BAN! Hahahaaaaaaaa! Na uzi uadilitiwa PERMENENTLY kwenye saver za MMU! Hahahaaaaa!
Kama Ipo Ipo tu nili nilichoandikiwa na Mungu hakifutiki.
Hata Di Maria ni malaika...bila kumsahau Merkel..
Kwamba Mungu alikuandikia utoke na Mume wa mtu? Huyo atakuwa ni Mungu magumashi na siyo Yehova.
angelita umri ulionao ndio unaandaa future yako mwenyewe, mwanamke ana umri wa kuwa kwenye soko na kuweza kudenguwa lakini kama kwa hiyari yako ujana wako umeamuwa kuspenda na mume wa mtu basi faida yake utaiona tu. All the best.