MMU hot talk

MMU hot talk

Hawezi kuja,Swali la mkuki kwa nguruwe hilo,chungu.

atakuja kujibu uskute kalala muda huu ajibu maswali15 ashindwe hilo moja then msiamuattack personaly cc Tee Bag
 
Last edited by a moderator:
jamani usiku mwema huyu binti naona amechoka

cc😡miss neddy
 
mkuu angelita wewe bado ni mdogo sana
(1) ashatembea na wanaume wangapi?
(2) aliyefingua njia alikutenda au ulimtenda?
(3) hufikirii ndoa bado unazipima hujapata saizi unayoitaka?
(4)ukiolewa utamchukulije atakae kuibia mume ikiwa ww unaiba wa wenzako

1. Sijaweka rejesita ya wanaume niliotembea nao
2. We drifted apart such is life
3. am too young
4. Kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Last edited by a moderator:
atakuja kujibu uskute kalala muda huu ajibu maswali15 ashindwe hilo moja then msiamuattack personaly cc Tee Bag

Ndio changamoto ya kuruhusu wasikilizaji kuuliza maswali caz sio werevu sana wa kujua maswali personal ni yapi. By the way mwanzoni hukuweka terms and conditions za kuuliza maswali

All in all its was another nice interview,unapata mitazamo ya vijana wenzako juu ya maisha ya kimahusiano,inasaidia kujua namna ya kujiongeza kwa wale ambao bado wanatafuta na kula ujana
 
Last edited by a moderator:
mume watu jua fika hawezi kukuoa kwa nn usitafute wakwako peke yako au usbazoea kupigwa na kuwachwa

Huyu mume wa Mtu tulivyoanza sikujua kama ana mke alikuja kuniambia katikati.
Niliumia roho kiasi chake lakini nikaangalia mazuri aliyonitendea imenibidi niendelee naye life is not fair.
 
angelita as long as unatoka na mume wa mtu, vipi huyo mke wa jamaa unamfahamu/ulishawahi kumuona? Na ulijisikiaje/unajisikiaje ndani ya nafsi yako kuona kwamba unachukua share ya mwenzio?

Je, ushawahi kuchunguza ama kutokea ukajua treatment ambayo jamaa anatoa kwa mkewe na familia yake kiujumla? If yes zikoje ukilinganisha na zile huduma upatazo wewe?
 
Last edited by a moderator:
Huyu mume wa Mtu tulivyoanza sikujua kama ana mke alikuja kuniambia katikati.
Niliumia roho kiasi chake lakini nikaangalia mazuri aliyonitendea imenibidi niendelee naye life is not fair.

hayo mambo mazuri anayokufanyia coz ww ni mchepuko hata kwake hafanyi hayo, akikuweka ndani hayo mazuri yatahamia kwa mchepuko mwengine ww itajichululiaje? kama anaweza kumtenda mkewe hatoshindwa kukutenda pindi akikumiliki
 
mke wa pili ni sunna. assume ww ndio mke mkubwa je ungeridhila kuolewa mke mwenzako?
 
Huyu mume wa Mtu tulivyoanza sikujua kama ana mke alikuja kuniambia katikati.
Niliumia roho kiasi chake lakini nikaangalia mazuri aliyonitendea imenibidi niendelee naye life is not fair.

Kuna swali langu nimekuuliza hapo awali,naomba nilirudie

Ukipata mtu ambaye Si mume wa mtu bado utakuwa una date naye kwa mlengo wa kuenjoy bila kuwa na expectations zozote?

Swali la ziada
Unapata changamoto zipi kutoka na mme wa mtu? Na una zikabiri vipi?
 
angelita as long as unatoka na mume wa mtu, vipi huyo mke wa jamaa unamfahamu/ulishawahi kumuona? Na ulijisikiaje/unajisikiaje ndani ya nafsi yako kuona kwamba unachukua share ya mwenzio?

Je, ushawahi kuchunguza ama kutokea ukajua treatment ambayo jamaa anatoa kwa mkewe na familia yake kiujumla? If yes zikoje ukilinganisha na zile huduma upatazo wewe?

Namfahamu na bahati nzuri anatambua uwepo wangu mana nimwaka wa3 sasa niko na mumewe. Nakwakuwa dini yao inaruhusu mke zaidi ya 1 alitoa ruksa mumewe kuhalalisha ila mimi sipo tayari. Kama mwanamke najisikia vibaya ila ndio ishatokea.

Heshima yake kwa mkewe haijashuka, anamuheshimu kama mwanzo, ikiwa pamoja na matunzo tena wanapata mara3 zaidi ya nipatacho Mimi.
 
Last edited by a moderator:
angelita as per your say.....ulifanya sex ukiwa 17, ni nini hasa kilikushawishi ama kukupelekea ukafanya hivo? And if you don't mind....share with us atleast a little bit kwa kile unachokikumbuka, siku hiyo ilikuwaje mpaka ukajikuta uko kwa bed? (The story behind the scene)

Na huyo mtu uliyeanza nae alikuwa ni mkubwa au ni rika lako? How conscious were you?
 
Last edited by a moderator:
hayo mambo mazuri anayokufanyia coz ww ni mchepuko hata kwake hafanyi hayo, akikuweka ndani hayo mazuri yatahamia kwa mchepuko mwengine ww itajichululiaje? kama anaweza kumtenda mkewe hatoshindwa kukutenda pindi akikumiliki

Bahati nzuri hayuko hivyo anajali familia yake kuliko kitu kingine, sio kama hao wanaojisahau. Mimi nakula kwa nafasi yangu hayo mengine hayanihusu sababu siyajui.
 
Namfahamu na bahati nzuri anatambua uwepo wangu mana nimwaka wa3 sasa niko na mumewe. Nakwakuwa dini yao inaruhusu mke zaidi ya 1 alitoa ruksa mumewe kuhalalisha ila mimi sipo tayari. Kama mwanamke najisikia vibaya ila ndio ishatokea.

Heshima yake kwa mkewe haijashuka, anamuheshimu kama mwanzo, ikiwa pamoja na matunzo tena wanapata mara3 zaidi ya nipatacho Mimi.

Mmmmmh mkuu hapa hapana, wanaume sivyo tulivyo. utaukua ukweli akiongeza mke wa tatu.
 
Kuna swali langu nimekuuliza hapo awali,naomba nilirudie

Ukipata mtu ambaye Si mume wa mtu bado utakuwa una date naye kwa mlengo wa kuenjoy bila kuwa na expectations zozote?

Swali la ziada
Unapata changamoto zipi kutoka na mme wa mtu? Na una zikabiri vipi?

Swali hilo la 1 alikujibu nafkiri page ya 6 tena alikujibu vizuri kweli!
 
Back
Top Bottom