MMU hot talk

MMU hot talk

Waache waige za kuambiwa changanya na zako once ukiiga life style la mtu lazima ile kwako bongo ni virse versa kuigana vitu visivo na maana

Hahahaaaaaaaaa! KINACHOFANYA ULIWE NA MTU YOYOTE SI TU MUME WA MTU NI NJAA ZAKO TU! PERIOD! Hakuna cha influence wala kuiga. Una njaa, mume wa mtu ana maziwa akikukaribisha njaa ndo itakayo kufanya ukubali wala sio kisa flani ana mume wa mtu! Maybe labda sababu Lara nae ana mume wa mtu itakufanya tu ulale usiku bila jinamizi! Hahaaaaaa! Njaa yako ndo iliyokuingiza kingi.

Na wala hamna mtu naive humuuu apigwe FREE P na mume wa mtu kisa flani ana mume wa mtu. Thubutuuuuuu! IT IS ALWAYS ABOUT THE MONEY!

Hii theory ya kuiga kitu cha roho ngumu kama kutoka na mume wa mtu hai hold water kabisaaa!
 
Thats what im talkin.. hao wasio na kazi na nini..lakini anataka maisha ya maigizo kama akina kim k..hapo ndo mambo kama hayo yanakuja sasa..ukichanganya USHAMBA na UDOGO wa AKILI ya MAISHA(born with wisdom) unapata product ya kijinga sana..
by the way wewe lara 1 hatuwezi kufika mwafaka maana tangu siku ya kwanza unapost hapa jf tuliongea haya mambo, so i know how u think about life sishangai remember Dr.Mo

Kwanza nikupe FACT 1, Hakuna watu kwenye cycle yangu wanatoka na WAUME ZA WATU kama wadada late 30S NA 40s! Tena they call it LOVE! Watu na kazi zao na maisha yao, wengine wake za watu! Hivi 20s n below wengi NJAA tu and all abot the MONEY! Lakini COUGARS WANT IT ALL! Anataka akutoe kabisaaa akae yeye! Hahahaaaaa!

Ni mfumo tu wa maisha! YOU FELL IN LOVE, TAKE SOME VOWS, SO HAPPY TOGETHER! Then you get older, drift appart, unmet expectations, resentments, unfulfilled ambitions etc etc MAMBO YANAKWENDA ISIVOTARAJIWA, SOME OF YOU TRY TO BE HAPPY AGAIN WITH OTHER PEOPLE! Its natural!

Ndo maana mama zetu hawakuwa na biti za tindikali sijui nini, anakuacha tu unengeneke weeee mpaka ujionee mwenyewe ukimbie! Hahahaaaaaaaa! Sema walilea sanaa watoto wa wenzano! BUT AGAIN ITS JUST LIFE MTOTO HANA KOSAAA!
 
jamani kwenye huu mjadala mi naona wakulaumiwa hapa wote wa3 ila mke na mume ndo wenye makosa zaidi
1:mke je
alilazimishwa ndoa?
anampenda mmewe kwa dhati?
je ana mapungufu gani ambayo angelita kafanikiwa ateast kuyapoza?nk
2:mme
je?
ilazimishwa ndoa?
ye akifanyiwa ataridhika?
km mkewe anahisi ana mapungufu si angemuolea kuliko kumzinia?
je?hajielewi au ndo hulk?
3:angelita kwa nini umkubali mme wa mtu?
huoni hilo ni doa tayari?
ni hayo tu
ila mi ningekua mke ningepigana hadi nijue mapungufu yangu uke wenza siuwezi
"kuchezewa mume wangu nasema sitaki""jitooooooeeee"
 
Hahahaaaaa! NDO MAISHA NA VITU VINATOKEA SANAAAAAA! Kwenye familia kuna watoto kibao wa nje, wanalelewa pale, everybody keeps their mouth shut, kilamtu ana turn a blind eye, bi wakubwa wana ufyataaaaaaa kimyaaa hakuna cha tindikali wala tindi pole, na zigo la ulezi juuuu, mwenzie miguu juu au anaolewa kwingine anakuachia zgo huku nyuma! Hahahaaaa!

Na mambo ya kuchunwa waume za watu yapo sanaaaaaaaaaa. Ni kama kunywa chai tu, sio jambo la kustusha, mambo ya mtu anamuacha huyu anamuoa huyu pia yapo vile vile, mke wa kwanza anamshika bi mdogo uchawi weeee lakini ndo ashafungashiwa virago tenaaa! BOTTOM LINE IS TUKUBALI TUKATAE MAMBO HAYA YAPO ENZI NA ENZI, HATA ANGELITA AKIACHA HAIBADILISHI CHOCHOTE!

WIVES SHOULD TAKE A CHILL PILL!

sasa angelita...oooh I mean lara 1.....yes yapo...but the solution begins with you....uamuzi tu....hutabakwa...you wont be held at gun point.....are we together angelita.??..ooh i mean lara 1...
 
Hahahahaaaaaaaaa! WHATEVER KNOCK YOUR SELF OUT! Ila kaa ukijua MUME WA MTU MAZIWA! Na wataliwa sanaaaaa! IEither i be a wanna be or not, NIMEZALIWA NIMEKUTA WANALIWA, HATA NIKAACHA WATAENDELEA KULIWA KAMA ILIVO ITIFAKI, AND THERE IS NOTHING THAT CAN BE DONE! ABSOLUTEL NOTHING!

ni kweli nimaziwa,,, na wezi wao ni vodka....what mixture do you anticipate there???
 
Waache waige za kuambiwa changanya na zako once ukiiga life style la mtu lazima ile kwako bongo ni virse versa kuigana vitu visivo na maana
Unajua Diva Beyonce watu wengi sana 90% ya wanaharibikiwa hata celebrety ni kutokana na kushawishiwa, mtu akikosa utashi wa kujitambua, ni HASARA kwake na kwa JAMII..tusijidanganye watu(vijana) wanafanya ngono sana na wanatakiwa wafanye lkn ni kwa ajili ya mhemko wa mwili.. na wala haitakiwi kuwa kwenye cv yako ya maisha kwamba mimi natia sana au mwanamke anatiwa sana(sio sifa) ila kwa sababu ya udogo wa akili na kutojitambua na akili za kushikwa na kuiga watu wanageuza cv na utaona wanapost kwenye mitandao(facebook nk), na BAADHI ya mademu wa kibongo sijui hii akili ya kukopy kwa nini imewakaa sana, naona hawa macelebrity wao akipiga picha kakunja midomo basi wote watapiga picha wamekunja midomo, akitembea na mume wa mtu basi nao wataona ndo mtindo, akipewa birth day zawadi gari basi nao ndo hivyo..najiuliza kwa nini wanapenda kuiga sana..hata hapa jf haya ni matokeo ya kusifu sana mambo ya kutembea na waume za watu, kuuza papuchi(no free p wanaita),kudanganyana mwanamke anatakiwa akiitombeze ili akifika miaka 30 atulie na maigizo maigizo mengine ya kishamba kishamba sasa vitoto vyenye FRAGILE mind vinaona ndo maisha ya kisasa..badala ya kustand out kujifunza kuwa strong independent woman
 
sasa angelita...oooh I mean lara 1.....yes yapo...but the solution begins with you....uamuzi tu....hutabakwa...you wont be held at gun point.....are together angelita.??..ooh i mean lara 1...

Hahaaaaaaaa! Kama una insinuate mimi ni ANGELITA YOU ARE VERY WRONG! ANELITA ALIKUWEPO PARTY YA ESCAPE 1 NA ANAJULIKANA HUMU NDANIIII UZURI TU, NA MIE NILIKUWEPO PIA! So chagua mmoja akujibu! Plus she is jus a kid not more than 23 yrs I am 30 remember! BIBI LA BIBI! Hahaaaaa!
 
Unajua Diva Beyonce watu wengi sana 90% ya wanaharibikiwa hata celebrety ni kutokana na kushawishiwa, mtu akikosa utashi wa kujitambua, ni HASARA kwake na kwa JAMII..tusijidanganye watu(vijana) wanafanya ngono sana na wanatakiwa wafanye lkn ni kwa ajili ya mhemko wa mwili.. na wala haitakiwi kuwa kwenye cv yako ya maisha kwamba mimi natia sana au mwanamke anatiwa sana(sio sifa) ila kwa sababu ya udogo wa akili na kutojitambua na akili za kushikwa na kuiga watu wanageuza cv na utaona wanapost kwenye mitandao(facebook nk), na BAADHI ya mademu wa kibongo sijui hii akili ya kukopy kwa nini imewakaa sana, naona hawa macelebrity wao akipiga picha kakunja midomo basi wote watapiga picha wamekunja midomo, akitembea na mume wa mtu basi nao wataona ndo mtindo, akipewa birth day zawadi gari basi nao ndo hivyo..najiuliza kwa nini wanapenda kuiga sana..hata hapa jf haya ni matokeo ya kusifu sana mambo ya kutembea na waume za watu, kuuza papuchi(no free p wanaita),kudanganyana mwanamke anatakiwa akiitombeze ili akifika miaka 30 atulie na maigizo maigizo mengine ya kishamba kishamba sasa vitoto vyenye FRAGILE mind vinaona ndo maisha ya kisasa..badala ya kustand out kujifunza kuwa strong independent woman

Ulilosema ni kweli asilimia zote vijana wengi wamekuwa wakipotoshana kuhusu maisha na kufundishana kuiga yasiyo faa kijamii na unakuta wanaiga kutoka kwa ma celebrity ambao ni empty set na kuwa fanya role.model wao badala ya kuishi.maisha yao kama wao wenyewe unakuta wanafundishana kuchuna waume za watu wengine ndo kunakowa weka mjini sasa wale ambao akili zao rahisi kudanganyika ndo unakuta anaiga life la mtu kama Wema alivo pewa zawadi ya gari bila kujua katoa nini kupata hilo gari sasa na mademu wengi wa kibongo wanaiga wanasahau fanya yote lakini mda ukifika lazma ya kurudie na hasa kwa mabinti kuna umri hata wa kuhonga wanapotea shavu likianza kushuka kuna watu nawafahamu enzi zao walikua so hot wakawa wanafanya mambo ya ajabu kwa kisingizio cha ujana mpaka leo hawana mbele wala nyuma na wanatia huruma fanya yote lakini lazma yawarudie badae
 
NA MIMI NALOG OFFFF! DOOOOOOOH! KAMA NALIPWAAAA! Maybe nitarudi usikuwa mkali tenaaa! Au nitakuwa nabeepa na simu but for now MUDA WA KU PUT MY WORDS INTO ACTION! Hahahaaaa! Jumamosi hiii tulivuuuu.

NB WALA MLIOKUWA HAMTAKI DUET NA LARA NDO MAANA HAMCHANGII WELL NOW IS YOUR TIME! Its hot talk ! Get hotter!
 
Hahaaaaaaaa! Kama una insinuate mimi ni ANGELITA YOU ARE VERY WRONG! ANELITA ALIKUWEPO PARTY YA ESCAPE 1 NA ANAJULIKANA HUMU NDANIIII UZURI TU, NA MIE NILIKUWEPO PIA! So chagua mmoja akujibu! Plus she is jus a kid not more than 23 yrs I am 30 remember! BIBI LA BIBI! Hahaaaaa!
the problem is birds of the same feathers flock together....

Hahahaaaahaa.... Tyta unashabikia timu gani wewe????

hahaha.. have mercy on them hubbies and their loved ones..... lara 1 and angelita what a combo.....!!!!I am eagerly waiting you and co. to be declared ''endangered species''....what a redemption will that day be...
 
Nimesoma mtiririko wote tangu jana. Niki like sana na kucomment kidogo....

Neno moja tu........ "Na hawa ndiyo binadam, ndiyo watanzania, ndiyo familia tarajiwa...."

Am off

...just to add "some people`s eyes are useless as their mind is already blind" .......
 
Ulilosema ni kweli asilimia zote vijana wengi wamekuwa wakipotoshana kuhusu maisha na kufundishana kuiga yasiyo faa kijamii na unakuta wanaiga kutoka kwa ma celebrity ambao ni empty set na kuwa fanya role.model wao badala ya kuishi.maisha yao kama wao wenyewe unakuta wanafundishana kuchuna waume za watu wengine ndo kunakowa weka mjini sasa wale ambao akili zao rahisi kudanganyika ndo unakuta anaiga life la mtu kama Wema alivo pewa zawadi ya gari bila kujua katoa nini kupata hilo gari sasa na mademu wengi wa kibongo wanaiga wanasahau fanya yote lakini mda ukifika lazma ya kurudie na hasa kwa mabinti kuna umri hata wa kuhonga wanapotea shavu likianza kushuka kuna watu nawafahamu enzi zao walikua so hot wakawa wanafanya mambo ya ajabu kwa kisingizio cha ujana mpaka leo hawana mbele wala nyuma na wanatia huruma fanya yote lakini lazma yawarudie badae
Na mifano yao inazunguka hapo hapo, wema, kajala, k-lyne, faraja kota na huyo aliyeolewa na mzungu..na media ndo zina circulate haya mambo na kuwaheusha baadhi ya watoto wa kibongo kabisa hasa walio mavyuoni au kama hawa hapa mtu ana 23 yrs lkn amejaza sumu kichwani kabisa, she dont even see that she has so mamy yrs ahead of her to make it big..kutiana kupo ni kutamu na hakuna mtu hatiani, ila work hard play hard..sio no work then u want to play hard no..
 
Te te te...tume comment kwa wakati mmoja tukiwa na same views...

Nina watoto wa kiume tu...nafikiria ningekuwa na wa kike ni jinsi gani ningekuwa na kazi ya ziada kuwaepusha na bad influence...

Japo wa kiume nao wana changamoto zao...ila wa kike kwa sasa wanaishi na majaribu sana...hasa na hao so called successful ladies...aka 'role models...'
Ni kweli kabisa nyumba kubwa watoto wa kike sasa hivi wanashida mno, maana na hii mitandao hata ukimfungia ndani ni rahisi sana kukutana na role model wa kwenye facebook, inst au jf(kama hawa)
 
Hahaaaa! Itakuwa tu FREE P, since he can't afford it basis ndo kuipiga vita hatari! Yale Yale ya broke dudes na HAPPY ME WITH MY FAMILY THEORY! HAHAAAAA!

Reality check dude your a.as CANT AFFORD NOT BEING HAPPY WITH YOUR WIFE. Matter of fact u should be grateful she is covering for you!

Loo hii happy me hii inawatesa wengi wanagugumia machungu wanakausha family haiko happy kabisa ila ndio vile ntaonekanaje kwa wenzangu?????? basi ngoja nijiproud hivyo hivyo daaaaa..... siri sirini ila yaliyomo hayamo kabisaaaaa
mungu epushia mbali hili
 
NA MIMI NALOG OFFFF! DOOOOOOOH! KAMA NALIPWAAAA! Maybe nitarudi usikuwa mkali tenaaa! Au nitakuwa nabeepa na simu but for now MUDA WA KU PUT MY WORDS INTO ACTION! Hahahaaaa! Jumamosi hiii tulivuuuu.

NB WALA MLIOKUWA HAMTAKI DUET NA LARA NDO MAANA HAMCHANGII WELL NOW IS YOUR TIME! Its hot talk ! Get hotter!

....na kwa taarifa yako haji..........(imekura kwako),.....kapeleka familia yake ''picnic''
lonely-bar.jpg
 
Na mifano yao inazunguka hapo hapo, wema, kajala, k-lyne, faraja kota na huyo aliyeolewa na mzungu..na media ndo zina circulate haya mambo na kuwaheusha baadhi ya watoto wa kibongo kabisa hasa walio mavyuoni au kama hawa hapa mtu ana 23 yrs lkn amejaza sumu kichwani kabisa, she dont even see that she has so mamy yrs ahead of her to make it big..kutiana kupo ni kutamu na hakuna mtu hatiani, ila work hard play hard..sio no work then u want to play hard no..

Na hao ndo wanawaponza wengine bora Faraja ana ndoa yake halali hao wengine wame dandia kupata unafuu wa maisha haiwezekani kuwa influence mabinti nao wawaige life style lao wanavoona huko ig mdada ana ishi mjini hana sources yoyote ya income lakini life lake haya ni majanga hasa kwa mabinti wenye kuiga wengine wana influence kuolewa na race flani ndo kufanikiwa sana eti mabinti inabidi wawe makini kufanya kazi kwa bidii sio kukimbilia kuhongwa na kuvizia waume za watu short cut ni wrong cut na ina wa cost sana
 
Back
Top Bottom