MMU hot talk

MMU hot talk

hivi mechi ya simba na yanga ishaanza?
Chelsea wanaongoza 2-0, Arsenal hali mbaya wako nyuma 1-2 dhidi ya Hull city ila Arsenal wana dalili ya kurudisha wanashambulia sana.

Naona hapa MMU kumekucha mambo moto moto
 
....na kwa taarifa yako haji..........(imekura kwako)
lonely-bar.jpg

hahahahahaaha hapa pamenikoshaaaaaa!!!
 
Na hao ndo wanawaponza wengine bora Faraja ana ndoa yake halali hao wengine wame dandia kupata unafuu wa maisha haiwezekani kuwa influence mabinti nao wawaige life style lao wanavoona huko ig mdada ana ishi mjini hana sources yoyote ya income lakini life lake haya ni majanga hasa kwa mabinti wenye kuiga wengine wana influence kuolewa na race flani ndo kufanikiwa sana eti mabinti inabidi wawe makini kufanya kazi kwa bidii sio kukimbilia kuhongwa na kuvizia waume za watu short cut ni wrong cut na ina wa cost sana
Ni kweli kabisa , hapo hapo bongo kuna mabint wanastrugle sana, kuna hospital nlikua nafanya kazi ipo morocco na baadae posta pale , kusema ukweli nlikua nakutana na baadhi ya mabint wamekaa vizuri, wapo focused wapo determined sana, unakaa unazungumza na mtu yupo positive, natural na focused mno na anatoka familia maskini sana, wengine anakwambia kabisa kila wiki lazima atiane lkn sio kwa ajili ya hela au mme wa mtu ni kwa sababu yeye ni kijana na anamihemko... lakin hawezi kutumia mwili kujikwamua kiuchumi...mimi inanishangaza sana kumkuta binti wa miaka 23 anawaza kutumia mwili kufanikisha maisha wakati umri bado unamdai kabisa au kudai anafanya ngono kwa fujo ili akiwa mkubwa apumzike(sijui hizi akili mtu anatoa wapi)..wakati muda bado unamdai sana...alafu wanawake hawajui kwamba mwanamke akifikisha miaka 30 na zaid ashki ndo zinakuwa juu na anaenjoy zaid kutiana ulike mwanaume ambapo akifikisha 30 kwenda juu uwezo unaanza kupungua..
 
Kwanza nikupe FACT 1, Hakuna watu kwenye cycle yangu wanatoka na WAUME ZA WATU kama wadada late 30S NA 40s! Tena they call it LOVE! Watu na kazi zao na maisha yao, wengine wake za watu! Hivi 20s n below wengi NJAA tu and all abot the MONEY! Lakini COUGARS WANT IT ALL! Anataka akutoe kabisaaa akae yeye! Hahahaaaaa!

Ni mfumo tu wa maisha! YOU FELL IN LOVE, TAKE SOME VOWS, SO HAPPY TOGETHER! Then you get older, drift appart, unmet expectations, resentments, unfulfilled ambitions etc etc MAMBO YANAKWENDA ISIVOTARAJIWA, SOME OF YOU TRY TO BE HAPPY AGAIN WITH OTHER PEOPLE! Its natural!

Ndo maana mama zetu hawakuwa na biti za tindikali sijui nini, anakuacha tu unengeneke weeee mpaka ujionee mwenyewe ukimbie! Hahahaaaaaaaa! Sema walilea sanaa watoto wa wenzano! BUT AGAIN ITS JUST LIFE MTOTO HANA KOSAAA!

Unajua wakati mwingine unaweza kutamani watu muwe sawa na fikra sawa lkn haiwezi kutokea...maana kila mtu ana mtazamo wake wa maisha ila tunachofanya hapa ni kupeana changamoto tu namna ya kufikiria maisha kwa angle tofauti...maana unaweza kuamini maisha yapo vile kumbe sio kabisa....kama hao watu wa zamani unaosema unaweza kukuta ni wale waliokuzunguka tu ...ila wengine hawapo hivyo kabisa....
 
unofficial translation''miaka 10 bado unafanya..hahah..jitunuku ''medali ya heshima''..ooops(kuonesha kuteleza/kukosea.)..''medali ya aibu''...kunywa shampeini kupitiliza kama si margarita(aina ya cocktail)..furahia..cheza kwa kujiachia(hasa kimahaba)..na zaidi jiweke kwenye kumbukumbu ya wezi bora wa..........malizia..
Mkuu kama mtu anatafakari nyuma ya haya maaandishi kuna falsafa ya hekima sana....maana watu hapa wanaaminishana kufanya ngono sana, kunywa pombe, kujidai umepinda, kujua habari za town sana basi wewe unakua ni MJANJA na MNOMA kuwaliko...ndo notion tuliyo nayo vijana wengi..ni type ya wale watu tuliokuwa nao shule Enzi hizo anajisifu mimi ni noma wewe NAISHI uswazi na WAVUTA BANGI ni noma mimi...kumbe mtu hajui kushi uswazi sio sifa na wala kuishi na wavuta bangi sio sifa ni umaskini na kushidwa kufanya homework maishani( au dingi kushidwa kufanya homewok maishani na kujikuta uswazi)
 
Chelsea wanaongoza 2-0, Arsenal hali mbaya wako nyuma 1-2 dhidi ya Hull city ila Arsenal wana dalili ya kurudisha wanashambulia sana.

Naona hapa MMU kumekucha mambo moto moto

thanks for the feedback,wacha kabisa yani pamepamba moto haswaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu kama mtu anatafakari nyuma ya haya maaandishi kuna falsafa ya hekima sana....maana watu hapa wanaaminishana kufanya ngono sana, kunywa pombe, kujidai umepinda, kujua habari za town sana basi wewe unakua ni MJANJA na MNOMA kuwaliko...ndo notion tuliyo nayo vijana wengi..ni type ya wale watu tuliokuwa nao shule Enzi hizo anajisifu mimi ni noma wewe NAISHI uswazi na WAVUTA BANGI ni noma mimi...kumbe mtu hajui kushi uswazi sio sifa na wala kuishi na wavuta bangi sio sifa ni umaskini na kushidwa kufanya homework maishani( au dingi kushidwa kufanya homewok maishani na kujikuta uswazi)

lara 1 kwenye haya mambo ni veterani.....and proud of it....(she takes calculated risks) anatarget weak victims tu....bado hajakutana na wa kumMwagia Conc. H2SO4...ITAKUWA NI WAKE UP CALL KWAKE....
 
Hahahahaaaha....umenikumbusha mbali sana ili tukio lilinifanya niachane na mambo ya sitaki nataka.

Enzi zile ndo nimeanza chuo kimoja maarufu kipo katikati ya jiji. Nilikutana na mkaka fulani basi siku iyo tumetoka, nikachelewa kurudi geti zimefungwa ikabidi niende nikalale kwake, hapo tumependeza na wajua tena pombe haina adabu inakimbilia chini. Basi kufika nikajifanya mgumu naleta za 1960 huku naitaji jamaa akageukia ukutani hadi kunakucha hakuna cha kubembeleza, basi toka siku iyo kama ndiyo ndiyo kama hapana hapana.

We ni noumaaa.....
 
Zamani tulikuwa tunazuiwa na wazazi kujichanganya na watoto walioshindikana,

SIku hizi mtoto anaweza kuharibika hata bila kutoka getini...anachohitaji ni simu tu yenye uwezo wa kukamata internet...

Wazazi inabidi na sie tuangalie utaratibu wa kulea kidigitali....
 
Zamani tulikuwa tunazuiwa na wazazi kujichanganya na watoto walioshindikana,

SIku hizi mtoto anaweza kuharibika hata bila kutoka getini...anachohitaji ni simu tu yenye uwezo wa kukamata internet...

Wazazi inabidi na sie tuangalie utaratibu wa kulea kidigitali....
Na huku mitandaoni wakikutana na vijana wanaojua ku brainwash kama hivi, ni hatari kwa watoto wetu. Hii ni siriaz sana. Mtu anaona sifa kusema ubaya anaofanya, kujisifia na kushawishi wale walioko inferior na wao ndio victims wakubwa hapa....!

Hebu niambie binti wa miaka 16 ameshika simu anasoma huu u.pupu hapa...unampoteza mtoto live bila chenga!!
 
oyoooo kuna mahusiano ambayo hayana deni hata mimi nimeshuhuia hili ..... sio mtu anakuganda kumbe it was a pass out.... hahahahaaaa hakuna mahusiano mazuri kama kuwa na mume wa mtu aiseeee na mipaka ikiwepo hakuna cha kugandana kivile unakuwa huru kufanya yako mengine..

dah! kumbe sisi tuliooa bado kuna warembo wanatuona dili...
 
angelita
Je kuna swali lolote ambalo ulipenda kuulizwa lakini hukuulizwa? Ni lipi, na jibu lake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Watu mna mambo sana, Mkuu kwa mara ya kwanza maisha yangu ya JF leo nimecheka hadi machozi yananitoka hapa.

Ulichoniua zaidi umeiingiza kimya kimya, sikutegemea kukutana na kitu kama hiki, wewe kwa siku yangu ya leo umemaliza hakuna

hahahhaaaa, pole mkuu kwa mbavu zako! hii movie inahitaji "bisi" za kutosha!
 
angelita
Je kuna swali lolote ambalo ulipenda kuulizwa lakini hukuulizwa? Ni lipi, na jibu lake ni nini?

Hii tabia ya kumwambia mtu ajitungie swali halafu alijibu naona imekuwa fasheni skuhizi....ila siipendiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom