angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,445
Nakuelewa ila kusema huo "ukweli" huku una brag na huoneshi remorse sio sawa bwana...sema ukweli na pia sema u are not proud of what u did,hata mdogo wako akipita humu ajifunze....na kuitwa malay.a ni sawa tu,kwenda kubreak nyumba za watu ni kosa,una weaken marriage ya binadam kama wewe...kwanini usijenge vyako if u are really strong as u and lara1 brag to be?
Hahahaaahaahaha..... Jumapili Leo ibada ilikuwa nzuri sana.
Back to the topic umalaya ni umalaya, anayetembea na mume/mke wa mtu au anayetembea na mtu ambaye hajamuoa au kumuoa wote malaya, hata wale ambao wazazi wao hawajaoana ni Malaya na watoto nizao la umalaya. Mtu ambaya natakiwa kumuonesha majuto yangu ni Mungu pekee sio mwanadamu.