MMU hot talk

MMU hot talk

Hahahaaaaa! NDO MAISHA NA VITU VINATOKEA SANAAAAAA! Kwenye familia kuna watoto kibao wa nje, wanalelewa pale, everybody keeps their mouth shut, kilamtu ana turn a blind eye, bi wakubwa wana ufyataaaaaaa kimyaaa hakuna cha tindikali wala tindi pole, na zigo la ulezi juuuu, mwenzie miguu juu au anaolewa kwingine anakuachia zgo huku nyuma! Hahahaaaa!

Na mambo ya kuchunwa waume za watu yapo sanaaaaaaaaaa. Ni kama kunywa chai tu, sio jambo la kustusha, mambo ya mtu anamuacha huyu anamuoa huyu pia yapo vile vile, mke wa kwanza anamshika bi mdogo uchawi weeee lakini ndo ashafungashiwa virago tenaaa! BOTTOM LINE IS TUKUBALI TUKATAE MAMBO HAYA YAPO ENZI NA ENZI, HATA ANGELITA AKIACHA HAIBADILISHI CHOCHOTE!

WIVES SHOULD TAKE A CHILL PILL!

U are not as tough as u are crying to be....a keyboard gangstar!
 
Umalaya unaujua??????? Kwanza bila umalaya sidhani kama wewe ungekuwepo, ule umalaya uliofanyika wa kukata viuno ukatokea ndo umalaya.
Shame on you who are you to judge me??????

Hahahhaaaa....ushakua emotional...kila mtu ana makosa,tatizo wewe unajisifia,it can not get sillier than that...halafu usiwe emotional ivo...
 
Hahahhaaaa....ushakua emotional...kila mtu ana makosa,tatizo wewe unajisifia,it can not get sillier than that...halafu usiwe emotional ivo...

Unajua maana ya kusema ukweli na kujisifia????? Tatizo la wengi mtu akisema ukweli anajisifia, unajua maana ya hot talk???? Huwezi kusema fulani ni Malaya kisa ana wanawake 2 wewe huyo mmoja umemuoa???? Wote si mnazini???? Next time atajifunza kutumia lugha nzuri sio unatoka tu huko nakumuita mtu Malaya wakati humjui.
 
Hahahaaaaaaaaaaa! HIO DHAMIRA YAKO TU INADAI HAKI LAKINI KIUHALISIA HAKUNA KITU KAMA HICHO!

Psheeeew! Anga mbaya ndo zipi? WAKE ZA MAWAZIRI, MAWAZII WENYEWE WA KIKE WANAMEGEMWA NA WANATULIA TULIII, KATIBA NDO ISHARUHU UTAFANYAJE SASA? Sana sana wake za watu wengi WANAFUMBA MACHO TU MASKINI YA MUNGU NA KUJISAHAULISHA UKWELI, AU WANAJIZOEZA KUCHUKULI POA! Wake business magnets wenyewe wanamegewa! Wapi mama 2 miss mstaafu! THERE IS NOTHING, ABSOLUTELY NOTHING THAT CAN BE DONE!

Haahaaaaaaaaa! Mwenyewe sio mwepesi hata kidogo! Ukinimwagia tindikali ubebe vifaranga vyakomuhame nchi lasivo ujue VITA HAITOSIHA, na mie nakutumia miteja tu, afu nachukua na video kabisaa mke wa mtu kafumaniwa! Hhahaaaa! Mjini hapa! KUSAMEHE KUNA FAIDA KULIKO VITA AFTER ALL THERE IS ENOUGH FOR EVERYBODY!:A S wink:

Ubaya hauna mwisho ndugu yangu, NA SIKUOMBEI MABAYA ILA WAKE ZA WATU KIBAOOOOOOO KUFUNGASHIWA VIRAGO PAMOJA NA KUPIGA MAGOTI KUMEWAHUSU, WENGINE WANAKESHA KANISANI MUDA HUU KUOMBA WAUME WAKUMBUKE GETI LA HOME MAANA IT HAS BEEN 10 YRS, YUKO MJINI NA HATAKI KUKUONA UMEBAKISHA PICHA ZA HARUSI TU SEBULENI! Hahahaaaaa! (Its not a laughing matter) Acha wale wa kuzaa nje, mama zao unawajua na jeuri ya kuwarushia kijiko tu acha kopo la tindikali hunaa, na wanakuja ndani kwako, wanakaa kwenye kochi lako, UNAMKARIBISHA JUICE YAKO, kumngoja mume wako awape hela ya matumizi ya mtoto! Hahahaaaaaaa! it s not a laughing matter again! uTAFANYAJE NDO YASHAKUKUTA TENAAAA! NDO MAISHA TULIYOKULIA WENGI WETU MTAANI, NA MAMA ZETU WALIUFYATA KIMYAAAAA! Hizi story zenu za tindi kali ni just your WILDEST DREAMS!

Ulivojibu kibabe..it shows deep down una bitterness na married people...haiwezekani mtu unatetea umala.ya this much,sis wote ni wazinzi (mostly) ila tuoneshe remorse basi...yaani mpaka level ya kua home breakers wa nyumba za watu halafu unabrag in public?????jeeezuzzz
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

angel Di Maria
angel merkel

hahahah...I aint vindicate paradoxes for comrades trippin....
 
Hapa hatutishani lakini penye ukweli tunasema tu...
Hawa vimada si kuwa wametokea sayari nyingine...
Ni dada zetu na ndugu zetu...

Nilikuwa na mama yangu mdogo
Aliishi kwetu kwa muda nikiwa mdogo nadhani 1980s
Alikuwa na buzi mume wa mtu milionea (nina hakika account yake ilikuwa na millions tokana na matanuzi yao)

Mama yangu baada ya kushindwa kumrekebisha nakumbuka siku moja alimpa kipigo cha mbwa mwizi na kumtupia mizigo nje...
Uncle wangu akaja kumchukua ilikuwa usiku...

Basi huyo milionea wake akampangishia nyumba Ilala...akampa na gari tena enzi hizo watu wengi walikuwa wanaendesha Pijo yeye alikuwa anasukuma Nissan au Toyota double cabin mpyaaa...imeenda juu hivi...

Ha ha ha...kwani maisha yake yaliendelea hivyo...
Alikuja amia mwanza akaolewa; mwanaume akaja kufa na ngoma; na yeye akafata...

Alizaaa mtoto na yule mzee...mtoto akabaki kuwa omba omba ujombani...watu wachange ndio apate school fees...

Kule kwa baba yake hawakutaka hata kumtia machoni jinsi mama yake alivyomtesa mama yao...

Baba yake alikuja kufa juzi kati; hakuambulia hata shilingi ya urithi...

Nachoshukuru mama yetu aliweka wazi kuwa maisha ya aunt yetu ni ufuska...na tulijua si tabia ya mfano...
Ndio maana kwetu japo tulikuwa wadogo sana hakuna aliyekuwa ana mu admire wala aliyeishia kuwa kimada kama aunt...
Hii haimaanishi kuwa ndiyo malipo yake bana.
Kuna watu wengi tu ambao walikuwa soo innocent na wameondoka na hizo ngoma.
Mm katika mwaka huu tu nimeshashuhudia couples 3 za miaka 30's waume wamepata kansa tena wote hawanywi pombe wala kuvuta sigara (mmoja kansa ya mapafu , wa pili kansa ya ini na wa tatu kansa ya ini na figo kufeli) , je unaamini ni malipo ya matendo yao?

Mfano mwingine ndani ya mwaka huu nimeshuhudia vijana wawili wa 18 yrs wanafariki kwa kansa ya mapafu na hawajawahi kuvuta sigara wala kunywa pombe , je na wenyewe wanalipiwa ubaya gani?
Achilia mbali nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya 20 wenye umri mdogo wakiugua kansa.
Kumbuka kansa huwa ni magonjwa yanayowapata watu kuanzia miaka 50 na zaidi.
Maisha siyo straight fomula , na dhambi ni dhambi tu. Tusiwe tunaona madhambi yetu yana afadhali na za wengine zimezidi , tusihukumu na kufikia hitimisho kabla ya Mungu.
 
Unajua maana ya kusema ukweli na kujisifia????? Tatizo la wengi mtu akisema ukweli anajisifia, unajua maana ya hot talk???? Huwezi kusema fulani ni Malaya kisa ana wanawake 2 wewe huyo mmoja umemuoa???? Wote si mnazini???? Next time atajifunza kutumia lugha nzuri sio unatoka tu huko nakumuita mtu Malaya wakati humjui.

Nakuelewa ila kusema huo "ukweli" huku una brag na huoneshi remorse sio sawa bwana...sema ukweli na pia sema u are not proud of what u did,hata mdogo wako akipita humu ajifunze....na kuitwa malay.a ni sawa tu,kwenda kubreak nyumba za watu ni kosa,una weaken marriage ya binadam kama wewe...kwanini usijenge vyako if u are really strong as u and lara1 brag to be?
 
Hii haimaanishi kuwa ndiyo malipo yake bana.
Kuna watu wengi tu ambao walikuwa soo innocent na wameondoka na hizo ngoma.
Mm katika mwaka huu tu nimeshashuhudia couples 3 za miaka 30's waume wamepata kansa tena wote hawanywi pombe wala kuvuta sigara (mmoja kansa ya mapafu , wa pili kansa ya ini na wa tatu kansa ya ini na figo kufeli) , je unaamini ni malipo ya matendo yao?

Mfano mwingine ndani ya mwaka huu nimeshuhudia vijana wawili wa 18 yrs wanafariki kwa kansa ya mapafu na hawajawahi kuvuta sigara wala kunywa pombe , je na wenyewe wanalipiwa ubaya gani?
Achilia mbali nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya 20 wenye umri mdogo wakiugua kansa.
Kumbuka kansa huwa ni magonjwa yanayowapata watu kuanzia miaka 50 na zaidi.
Maisha siyo straight fomula , na dhambi ni dhambi tu. Tusiwe tunaona madhambi yetu yana afadhali na za wengine zimezidi , tusihukumu na kufikia hitimisho kabla ya Mungu.

Hizi ni fate zao tu! Walikuwa fungi la kukosa na wamekosa!

Watu kibao mashangingi wamesomesha nje watoto wamerudi wameajiriwa multinations vyuo vya Kara eanasaka Kazi daily!

ULICHOANDIKIWA NDO UTACHOPATA
 
Whatever that happened IT IS YOU THE UNGRATEFUL HUBBY RESPONSIBLE! It is your fault because youcould have stopped it, had all the reasons in the world to, but naaaaaaaaah! you just didnt? UNA BOOST YOUR EGO THESE DI.CKS AINT LOYAL Naw! HEEEEEEEEEEEEY! CHINEKEEEEEEEEEE!

Kuitumia kwangu ni NDOTO ZA MCHANA KWEUPEEEEEEE NINA LINDWA NA KATIBAAAAA MPYANA YA ZAMANI, I NOW THE LAW TOO MUCH, NEED I MENTION I RESIDE IN THE HOOD, KINO REMEMBER, FOR A PACK OF WHITE SUGAR YOU CAN GET A WOMAN BURNT INSIDE WITHE HER KIDS IN BROAD DAY LIGHT? Ofcourse i dont need to mention that! DO I? Hahahaaaaa!

rEGARDING COMMENT YAKO JUU YA WIZZY SO THE SOONER THE WIFE GETS OFF THAT HIGH HORSE OF HERS THE BETTER FOR HERSELF!:cool2: Wouldnt you agree more?
Please reduce cognitive burdens!
 
Jamani Shukrani wote mliochangia humu, kila mtu anaishi maisha yake vile anavyotaka yeye. Mimi ni mtu muwazi sipendi napenda kuwa Mimi na sio kuwa mtu mwingine ili niwafurahishe wengine.

Kwawale wanaodai najiproud kabisa wakati najua nakosea, lengo la kuwa muwazi nikuwasaidia wengine wapate mafunzo kutoka kwenye makosa ya wengine, naimani watu wamejifunza kitu na wengine wamejua kitu, hivi vitu vipo vinatendeka na watendaji wapo kila mahali na humu pia wapo wengi tu ila wamevaa ngozi ya kondoo nyuma ya keyboard zao waonekane watakatifu wakati hapana. Kama mlitaka nidanganye nijifanye mtakatifu wakati sipo hivyo mtanisamehe.

Kwa Mara nyingine tena ahsanteni, wale waliotoa ushauri ahsanteni pia na Mungu awabariki na nawatakia weekend njema.
You have done well , mengine yaliyojitokeza ni makadhalika ya binadamu kujiona bora zaidi ya wengine.
Sasa hapo mtu anaona kuzini na mtu single siyo dhambi Bali kuzini na mwenye ndoa ndiyo dhambi kweli kweli.
Tupa kule mengine hata huhitaji kujibu waache na unafiki wao.
 
Watu ni wanafiki sana humu.....
Dhambi ni dhambi tu , ila watu wanajiona dhambi zao ni ndogo.
Kuna tofauti gani ya kuzini na mtu single na mtu mwenye ndoa kwa Mwenyezi Mungu?
Tuache kuhukumu na dhambi ni dhambi tu.

Mkuu Asakuta upo sahihi sana,dhambi ni dhambi...zote sawa tu...na hamna haki ya mtu kumhukumu mtu...ila sasa hatuwezi kaa hapa tunajisifia kufanya haya madhambi...eti natoka na mume wa mtu na im proud of it,jezuz,sio utu kabisa...unadestroy nyumba ya mtu binadam kama wewe na watoto wasio na hatia halafu una brag????
 
Ulivojibu kibabe..it shows deep down una bitterness na married people...haiwezekani mtu unatetea umala.ya this much,sis wote ni wazinzi (mostly) ila tuoneshe remorse basi...yaani mpaka level ya kua home breakers wa nyumba za watu halafu unabrag in public?????jeeezuzzz

So what gonna you do about it? Unafiki tu! Watu humu mnatoka povu kukemea kwenye jamii kimyaaa! Wengi wenu baba zenu wamezaa nje, waume zenu wamezaa nje, kaka zenu wanazaa nje, wanenu wanazalisha watoto Wa watu bila kinga! AND NOBODY SAYS SHIT ABT IT! Tunaufyataa kimyaaaa! Kukumbatia uovu. Mwenyewe kaka yangu kamzalisha MTU mwanafunzi Wa chuo, bi mkubwa anakonalia asimuoe wala mini. Alee tu mtoto. Uncle zangu, kaka zangu, ndo wale wale wakute wake zao, au mama zetu wanavolaani vimada sasa! Nyooooooo! Vimada Wa ndani ya nyumba kimyaaaa! No body says shit abt anything! Aliteleza tu. NDO MAANA NAWAAMBIA SPARE ME THE SENTIMENTS! MTAWHINE HAPA BT THE SOCIETY IS NOTHING CLOSE TO PERFECTION!
 
Watu ni wanafiki sana humu.....
Dhambi ni dhambi tu , ila watu wanajiona dhambi zao ni ndogo.
Kuna tofauti gani ya kuzini na mtu single na mtu mwenye ndoa kwa Mwenyezi Mungu?
Tuache kuhukumu na dhambi ni dhambi tu.

Hahaaaaa! Sema wewe ndugu yangu! NIKIITA HYPOCRITICAL INSTITUTION watu wanatoka povu
 
You have done well , mengine yaliyojitokeza ni makadhalika ya binadamu kujiona bora zaidi ya wengine.
Sasa hapo mtu anaona kuzini na mtu single siyo dhambi Bali kuzini na mwenye ndoa ndiyo dhambi kweli kweli.
Tupa kule mengine hata huhitaji kujibu waache na unafiki wao.

Asakuta impact ya kuvamia nyumba ya mtu unaathiri wengi,mke,watoto,and other dependants,ambao hawauhisiki kabisa,unaharibu taasisi...huwezi fananisha na single person uliezinzi nae...effect kwa familia ni more lethal...ndio maana ikawa forbidden...angalia intensity ya effect sio just mere dhambi ni dhambi tu
 
Mkuu Asakuta upo sahihi sana,dhambi ni dhambi...zote sawa tu...na hamna haki ya mtu kumhukumu mtu...ila sasa hatuwezi kaa hapa tunajisifia kufanya haya madhambi...eti natoka na mume wa mtu na im proud of it,jezuz,sio utu kabisa...unadestroy nyumba ya mtu binadam kama wewe na watoto wasio na hatia halafu una brag????
Kwani mkuu wewe ukishamla demu mzuri aliyekuwa unamfukuzia muda mrefu huwa hujisifii na kujikubali moyoni?
Majuto na masikitiko yetu ni kwa Mungu tu na siyo wanadamu.

Je ni vipi nafasi ya mume?
Mbona mume haonekani km ndiyo tatizo?
Je ni huyu angelita ndo jukumu lake kulinda hiyo familia na watoto au ni jukumu la mume?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom