MMU hot talk

MMU hot talk

If sentimentality didn't suit me! Why i we argue?

Lara1 bahati mbaya tunamitizo isiyoweza kushabihiana, weka kichwani taadhari, onyo, karipio sio hukumu. Vyote vina lead kwenye kufunza, ikiwa unaemfunza anakwambia huna haki ya kumfunza unamfanyaje?

Come on! We are a little too old for that! Umri huh MTU akifanya kitu kaamua sio kwamba kakosea! Its all about CHOICE! so even fear can not work at this age! MAYBE PRAYERS! Hahaaaaa
 
Unachosema ni sahihi as far as definition yako ya ku win maisha inaishia kwenye BMW na Vogue...

Yale Yale ya HAPPY ME wakati life has not only fried you but it has also toasted you. Hahaaaa! YOU SHOULD BE HAPPY BECAUSE ITS THE ONLY THING YOU CAN ACHIEVE! Hahahaaaa"
 
10yrs still kickin..hahah..get yourself a ''medal of honor'' ..ooops...''a medal of shame'' to commemorate that.....pop some champagne IF NOT MRGARITA..be euphoric...do some twerk and furthermore ,induct yourself to the ''H.S HALL OF FAME''

SHAME IS OVERATED! sleeping hungry while you can get food all you need do is smile is SHAMEFUL! And damn too LAZY, IRRESPONSIBLE AND SELFISH!

Honor, dignity, happiness et all ARE JUST FEELINGS AND NOT WORTH A DIME IN THE FINANCIAL AND MONEY MARKETS! THEY WILL ALWAYS BE JUST FEELINGS! Hahaaaaa!
 
unofficial translation''miaka 10 bado unafanya..hahah..jitunuku ''medali ya heshima''..ooops(kuonesha kuteleza/kukosea.)..''medali ya aibu''...kunywa shampeini kupitiliza kama si margarita(aina ya cocktail)..furahia..cheza kwa kujiachia(hasa kimahaba)..na zaidi jiweke kwenye kumbukumbu ya wezi bora wa..........malizia..

Spare your self the drama! Unafiki Wa humu hujauzoea? SOME PEOPLE HAVE A REPUTATION! Usikimbie muswada Wa HOT TALK! Hahaaa! Stand for what you believe in! Don't tell me you are chickening out already!
 
Spare your self the drama! Unafiki Wa humu hujauzoea? SOME PEOPLE HAVE A REPUTATION!

Hahahaaaa seriously?? Imekuuma Tyta kunitafsiria? Yan ni kweli kabisa sentensi tatu za mwanzo nlielewa ila huku mwisho sikuokota kitu ila nimekuja kugundua maneno ambayo sikuyaelewa ni vinywaji na hiyo cocktail.....
 
Habari yako nyumba kubwa...Kwa umalaya huu tena mtu yuko proud kazi ipo tena si kidogo....

SHAME!

Shame is OVER RATED! Okay its shameful SO WHAT? You get to drink the margaritas, get the rent, doesn't have to work for shit, enjoy the cozy nights, get whatever you want ALL OF WHICH YOU WERE NOT SUPPOSED TO GET A DIME OF, BUT YOU GOT THEM ANYWAYS ! Hahaaaaaa! Oooooh! You are supposed to be ashamed! Ooooops!

GIVE ME A BREAK!!!
 
Shame is OVER RATED!

Bi dada hatuoembeani mabaya...ila ubaya una mwisho..

hizi LOVE TRIANGLE mnazofanya zinaweza kuwa na mwisho mgumu...

Ngalia tu usije kuingia anga mbaya ukamwagiwa TINDIKALI na hako kasura kako kwishney

au maji ya moto...kelele zoote humu tutazikia kwenye bomba

Hatuombeani mabaya ila Ubaya una mwisho....utakutanaga na mjanja mwenzio siku moja
 
Hahahaaaa seriously?? Imekuuma Tyta kunitafsiria? Yan ni kweli kabisa sentensi tatu za mwanzo nlielewa ila huku mwisho sikuokota kitu ila nimekuja kugundua maneno ambayo sikuyaelewa ni vinywaji na hiyo cocktail.....
Khantwe karibu sana hii MMU Hot Talk if not HARD TALK....:embarrassed:
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa seriously?? Imekuuma Tyta kunitafsiria? Yan ni kweli kabisa sentensi tatu za mwanzo nlielewa ila huku mwisho sikuokota kitu ila nimekuja kugundua maneno ambayo sikuyaelewa ni vinywaji na hiyo cocktail.....

PLEASEEEEE! Haijaniuma alivokutafsiria AND BY SOME PEOPLE I MIGHT HAVE NOT MEANT YOU BUT SINCE YOU INSIST ITS YOU MAYBE IT IS! Hahaaaa! Akutafsirie atakavyo ila arudi kwenye mjadala! BTW kuna GOOGLE TRANSLATOR, NA JF WEB INA TRANSLATOR PIA! Tyta sio issue kujivua gamba!
PS! This isn't about you, its about Angelita don't make it about you! PLEASEEEEEE!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom