MMU hot talk

MMU hot talk

hahah asiwe mbana pochi team no free p wewe
Qn.9 Umewahi kutomtendea
mwanume haki? Yaani anakutreat
vizuri we unamfaya bwelegeje? Any
regrets?
 
Hahahaaaa! Taratibu jamani, kuna moderator anakaa nje ya nchi huko kama Bundi, halaliiiiii! Kazi yake kututafuta ubaya tuuu! Hapa tunamkereketa si utani, anasubiri apate chance tu la kuufunga huu uzi! Hahaaaaa!

Hahahaaa ngoja niwe mpole lol
 
angelita
Qn 10. Ushawahi kufanyiwa nini na
mwanaume ambacho hutokaa usahau?
 
Last edited by a moderator:
angelita
Qn 10. Ushawahi kufanyiwa nini na
mwanaume ambacho hutokaa usahau?

Hahahahaaaha....umenikumbusha mbali sana ili tukio lilinifanya niachane na mambo ya sitaki nataka.

Enzi zile ndo nimeanza chuo kimoja maarufu kipo katikati ya jiji. Nilikutana na mkaka fulani basi siku iyo tumetoka, nikachelewa kurudi geti zimefungwa ikabidi niende nikalale kwake, hapo tumependeza na wajua tena pombe haina adabu inakimbilia chini. Basi kufika nikajifanya mgumu naleta za 1960 huku naitaji jamaa akageukia ukutani hadi kunakucha hakuna cha kubembeleza, basi toka siku iyo kama ndiyo ndiyo kama hapana hapana.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaa hivi wanaume wa aina yake bado wapo kweli? angelita Qn 11. Unafikiri nini wanaume
wanakosea kupeleke mda mwingine
wasipate royal treatment kwa wadada
na kufanywa mabozo, just friends na
issue kama hizo.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaa hivi wanaume wa aina yake bado wapo kweli? angelita Qn 11. Unafikiri nini wanaume
wanakosea kupeleke mda mwingine
wasipate royal treatment kwa wadada
na kufanywa mabozo, just friends na
issue kama hizo.

Mmmmh sidhani kama wapo siku hizi.

Uking'ang'anizi aiseeeh mdada kama kaamua kuwa na wewe/ kulala na wewe anakuwa kaamua, nakama hataki hataki kweli usimlazimishe akikataa mwishowe mwanaume wafanywa mbeba pochi.
 
Last edited by a moderator:
Qn 12. Humu JF who do you have the
hotties for? A name please! Why?
Hypothetically speaking who will you
have a one night stand with, tuachane
na mjadala wa character yake, just the
nasties! Walau Top 3
 
Mmmmh sidhani kama wapo siku hizi.

Uking'ang'anizi aiseeeh mdada kama kaamua kuwa na wewe/ kulala na wewe anakuwa kaamua, nakama hataki hataki kweli usimlazimishe akikataa mwishowe mwanaume wafanywa mbeba pochi.

GIRL YOU IS BAD!!!!!!!!!!!!! Okay kumbe bado hatujaruhusiwa! Excuse mwaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom