MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

hahahaa... huu uzee mnavyopenda kuusingizia sijui kwanini? mbona we mduchu nilikutana na wewe siku moja lakini hukuntambua!!
aaahhhh thubutu! uliniona wapi?? haya bana, ila ukweli ndiyo huo, uzee umeingia tunawashauri vijana tu hapa!
 
Sina hakika kama kuna mwanamume haogopi hicho kitu kaka...

Hata wale wazoefu wa kupiga mechi za mchangani, ukitaka kuona wanavyokuwa wadogo kama piriton,

Basi wafanyie mzaha kwamba wameibiwa mali zao....Ila usijaribu hilo kama huna mtu wa kutoa huduma ya kwanza!!


Babu DC!!

babu hata mwanaume mkorofi tena mwenye maudhi kama nn lazima ishu ya kugongewa mkewe hana masihara. yaani atakufa mweneywe. ila sasa kuna kitu nilichokigundu Jpo sio kizuri. mwanaume akihisi mkewe anarushwa maji yaani kama alikuwa mkorofi hurudisha nidham nyumban tena na yeye mwenyewe huanza kutulia na kubembeleza mkewe kana kwamba alipokuwa anamtesa mkewe hakujua hayo.
 
si ndo hapo??? huu ujana tumuachie Natalia and co! upo mzee mwenzangu?

mzima shoga'ngu nipo nasukuma uzee si unajua lol! vitoto vishaanza crushing hivi na uncle mwenyewe ndo Mentor sijui niwapeleke wapi wakajifunze kuwa wakaka lol!
 
Last edited by a moderator:
mwali siye wazee sasa watoto wenyewe ndo hivyo washavuja ungo na wengine kubalehe tunategemea nini?? mtoto miaka 15 umemzaa na miaka 25 bado kijana tena lol!

Wamama wa kisasa mnavyojipenda, hata ukiwa na miaka 50 bado unaonekana kama una 30 hivi. Mwanamke kuzeeka anataka mwenyewe tu mambo yote yako madukani.!!!
 
:whistle:
Wamama wa kisasa mnavyojipenda, hata ukiwa na miaka 50 bado unaonekana kama una 30 hivi. Mwanamke kuzeeka anataka mwenyewe tu mambo yote yako madukani.!!!

acha kabisa uzee mie naukubali ila sikubalian na kuonekana mzee. but heshima yangu nipewe lol!
 
babu umri ukienda umeeda tu bana, sasa haya ya young looking face ni matokeo ya kujipenda tu. huwez ukaamin haya ila mie na shogaangu cacico na snowhite ni vikongwe ila tu saluni ndo zinatunyanyua

Mhh, we naye kwa kuzibia watu rizki.
Mbona cacico na snowhite bado chuchu zinaita kama jua la mawio Kigoma.
Ungejua PM yangu ilikuwa inaenda vizuri halafu unaniharibia hesabu!! Unajua Snowhite kanitumia album
mapicha mazuri ya kufa mtu au nimeingizwa mjini ni "Picha duka"?
 
Last edited by a moderator:
Nilikuona tu nikakimbia,the Boss ni wa kale...wewe ndo director kwa sasa....nakuja huko huko sasa hivi.

Habari yake Michelle,
Yaani ulivyoadimika na jinsi nilivyokumisi hata sipati kusema. Hivi we uko group gani la uzee wa kisasa ama bado binti?
 
Last edited by a moderator:
The Boss nimekukubali, Hongera sana! Nashukuru Pia LARA1 kwa misamiati yake, imenifanya nijue mambo mengi ambayo sikuwa nayajua, maana Hiyo breakfast, sisi hapa ofisini tunaiita kiporo. maana wengine wakila tu akifika saa nne asubuhi anaanza kusinzia.hahahahaha.
 
umeona eeeee???? yaani wakituona ni kama vigoli kumbe tunakaribia 40s, lol!

mwali acha tu ndo maana hata kujiita kijana siwez lol! mtu menopouse unaiona halafu useme mie kijana lol!
ishu hapa ni kukwepa mwinekano wa kizee lol! ila umri umesoma sana tu.
 
aaahhhh thubutu! uliniona wapi?? haya bana, ila ukweli ndiyo huo, uzee umeingia tunawashauri vijana tu hapa!

Hahahaha... watu mnavyoogopa kufahamika? siku moja ntakukumbusha tuligongana wapi.
Haya bana sasa wazee wa kisasa mtusaidie malezi bora kwa hawa wanetu, hasa binti yangu Zion Daughter mnisaidie kumfunda manake huu utandawazi unatutisha tuliona watoto wa kike.
 
Last edited by a moderator:
Habari yake Michelle,
Yaani ulivyoadimika na jinsi nilivyokumisi hata sipati kusema. Hivi we uko group gani la uzee wa kisasa ama bado binti?

Habari yake Michelle nzuri Mwita, natumai habari yake Mwita ni nzuri zaidi
Mi niko kwenye group la wazee wa kisasa....lol
 
Mhh, we naye kwa kuzibia watu rizki.
Mbona cacico na snowhite bado chuchu zinaita kama jua la mawio Kigoma.
Ungejua PM yangu ilikuwa inaenda vizuri halafu unaniharibia hesabu!! Unajua Snowhite kanitumia album
mapicha mazuri ya kufa mtu au nimeingizwa mjini ni "Picha duka"?

hahahahah! mwanae snowhite wa kwanza ni 19yrs na alizaaga akiwa na 27 sasa sijui ukigori gani tena.
BTW hata menopouse ikifika watu hurudi ukigori lol!
 
Last edited by a moderator:
babu umri ukienda umeeda tu bana, sasa haya ya young looking face ni matokeo ya kujipenda tu. huwez ukaamin haya ila mie na shogaangu cacico na snowhite ni vikongwe ila tu saluni ndo zinatunyanyua

Kama umemtaja na snowhite basi umepunguza credits kwa upande wangu....

Huyo bado sana tena sana....tatizo ni kwamba kuna jamaa aliamua kuvunja sheria kwa kumwingiza minor mujini kwenye streets za MMU...otherwise, huyo angetakiwa ndo awe anarekebisha mitandao baada ya kukimbizana na network search...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Habari yake Michelle nzuri Mwita, natumai habari yake Mwita ni nzuri zaidi
Mi niko kwenye group la wazee wa kisasa....lol

Sawa dadake mimi niko salama zaidi ya usalama wenyewe. Wazee wa kisasa ndio mpango mzima.
Btw last time hatukuonana mambo yalikuwa mengi sana?
 
Hahahaha... watu mnavyoogopa kufahamika? siku moja ntakukumbusha tuligongana wapi.
Haya bana sasa wazee wa kisasa mtusaidie malezi bora kwa hawa wanetu, hasa binti yangu Zion Daughter mnisaidie kumfunda manake huu utandawazi unatutisha tuliona watoto wa kike.

hapo bold sio wao peke yao wenye wa kiume ndo zaid manake bora wa kike akitiwa itajulikana ni haki yake na wajibu wake kutiwa sasa wa kiume uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani natenga msiba mm lol! yani inapokujaga ishu ya malezi huwaga najikuta nafunga novena paasi kutegemea lol! manake vijana wa kiume wa sasa hadi waelewe maana na thamani yao kama wanaume sio mchezo duh! ama tubadilishane?? unisaidie likizo hii kuwapa shule ile yenyewe kwamba kwann ni wanaume na mm unipe huyo Zion Daughter nimfunde??

ila onyo nikimfunda uwe tayari umeridhika kupokea mahari lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama umemtaja na snowhite basi umepunguza credits kwa upande wangu....

Huyo bado sana tena sana....tatizo ni kwamba kuna jamaa aliamua kuvunja sheria kwa kumwingiza minor mujini kwenye streets za MMU...otherwise, huyo angetakiwa ndo awe anarekebisha mitandao baada ya kukimbizana na network search...

Babu DC!!

hahahah! babu nae huyu umri wake umeenda manake ni above 35......ujue. mie ndo kikongwe and siriaz niambie kwanza menopouse naifanyeje manake nina dalili zake zote.
 
Back
Top Bottom