MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Mbona unanisalimia bila kupiga magoti wewe amu?

Anyway..marahaba,

Ulipokuwa mdogo hukuwahi kuweka kidole puani na kuhamishia mdomoni??

Kama bado basi ujaribu hiyo experiment kwanza!

Babu DC!!

ujue ninaugua mafua husikii hata sauti yangu inavyotoka???nasubiri yapone nijaribu experiment yako
 
Last edited by a moderator:
Sijadandia ufalme wa character ya The Boss bali kuna mambo tunashahibiana...labda nikuulize, huwa wafuatilia comments zangu MMU? unadhani watu8 ni mtu wa namna gani?

Leo kila mtu anashabihiana na The Boss!!!!!!! Itikadi za mfumo dume zimerudi kasi kweliiii!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Haa haa we mtoto usually na deal na mama zako au dada zako wakubwa
nahofia utaniganda mno.....so yes only golf of course lol
...
kwa mengine nitafutie dada zako au mama zako wadogo hivi lol
karibu tena.....nashkuru kwa interview ...lol


Kumbe The Boss bado unachiti:smile:
 
Last edited by a moderator:
Nina watu wengi mno humu ambao nawakubali kisi kwamba
ukiniambia niwataje huwa nahofia kutomtaja mtu nikajisikia vibaya hsa kama namkubali huyo mtu

sasa labda nitaje wana jf wote kwa ujumla wao haswa wana mmu na chit chat...

na niwashukuru kwa heshima na upendo wanaonipa na kuniamini kwa ushauri ninao utoa hapa jf
Nakuwa inspired na wao pia kila siku........

You are a brave man.
 
Nina watu wengi mno humu ambao nawakubali kisi kwamba
ukiniambia niwataje huwa nahofia kutomtaja mtu nikajisikia vibaya hsa kama namkubali huyo mtu

sasa labda nitaje wana jf wote kwa ujumla wao haswa wana mmu na chit chat...

na niwashukuru kwa heshima na upendo wanaonipa na kuniamini kwa ushauri ninao utoa hapa jf
Nakuwa inspired na wao pia kila siku........

daaaa una mvi ngapi aisee?? full busara.
 
hahahahah babu unazani za mchangani zinaelezewa hapa? mambo yote big hausi au umeshasahau zile sheria zake zilizoleta mtafaruku humu?



Hahahahahahahahha,

Baada ya kamanda wa MMU...the King of mambos, The Boss, sidhani kama kutakuwa na tija kumleta babu kilingeni!

Ila huyo pacha wangu kasahahu kutueleze mtazamo na uzoefu wake kuhusu mechi za mchangani.....

I would love kusikia orodha yake inasoma mintu mingapi...lol!!...Mwenzake niliashindwa kidogo kukamiliza

Babu DC!!
 
Binafsi niliwahi kufikiri mwanamke mwenye wowowo kubwa ana ni turn on..
lakini kumbe sivyo kabisa....
right now 'good sense of humor' na 'chemistry' vinani turn on zaidi
na kama yuko vizuri kwenye general knowledge....
mtu ambae unaweza ongea nae chochote na kutaniana nae kirahisi....

Boss huu ujanja huu.. Hapa umeacha nafasi ya mwanamke wa kila aina bila kujali umri, rangi na umbo aingie mkenge kama yupo hapa Jf. Hatari hii... Lol.

Umejibu vizuri saana majibu yako. Hongera. Sijapita kote will do baadae.

Zinduna na lara 1 hongereni saana. Nice one.
 
I am humbled kwa uliyoyasema
thanx a lot....
karibu sana...

mie umenikosha hapo kwa mwanamke akikuzalia mambo ya mapingili pingili hayana umuhimu kwako, wanaume wachache sana wanalitambua hilo, yaani nimezidi kukupenda, oh yeah na sio kwamba twapenda hizo pingili bali uzazi/ulezi unakuwa na mambo mengi sanaaa uje kukumbuka gym mida ipi? afadhali wewe umeonyesha kwamba unaweza hata kumshauri kutenga muda wa hiyo gym kuliko mwingine anaekimbilia kwa hivyo vipotabo, THE BOSS, be blessed.
 
Leo kila mtu anashabihiana na The Boss!!!!!!! Itikadi za mfumo dume zimerudi kasi kweliiii!!!!!!!!

Hahahah JF ni jukwaa huru hakuna la kuficha, pengine tunatofautiana uandishi au namna ya kuyaweka mawazo yetu...lakini mara nyingi mantiki hushahabiana.
watu8 posts zangu nyingi hujaza mashkara ili kunogesha lakini ndani ya hayo maskhara huwa kuna maelezo ya maana.
Pamoja na hayo huwa naandika posts nyingi tu ambazo huwawezi kuta masikhara hata kidogo, kifupi mie ni mtu ninayeweza "ku-blend in".
Labda mahali tunapotofautiana ni kuwa The Boss amekuwepo kitambo hapa zaidi yangu.

lara 1, hujajibu maswali yangu bado...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom