Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
Huyu mnampeleka Mirembe tu
nina mdogo kwa mama yangu mdogo, alinyonyesha kwa week 3, akaanzana na maziwa ya makopo, hakunywa supu,mtori, hatusemi wale/wanywe watoke humo ndani kama nyumba, but wajameni,uzungu kwa vichanga hapana.