MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Ni vizuri kuwa na uso wenye bashasha uliojawa na tabasamu. Aina yako ni watu wale wasiopenda kukwazika na wala hawaachi hasira ikafura vifuani mwao. Ni aina ambayo watu8 hupenda wawe marafiki zake. Just keep it up una-inspire watu wengi tu!!!!
kwa kweli kimsingi napenda sana kutokuweka hasira,nilikuwa naweka kihasira na mijisasi mimi wewe!kha!nikaona akha ntajipunguzia siku za kuishi!toka nigundue kuwa furaha ya kweli na amani ipo ndani ya mtu walahi wala sipotezi fursa ya kuwa na furaha na kuionyesha pia!hasira hazilipi wla nini wangu!ah maisha yenyewe ndo haya haya mwaya!cha kujipa ubaunsa wa kifua nini?shurti mtoto wa kike kifua kimetuna ukiulizwa nini oh nimevurrugwa !mie akha!umenikera nakupa makavu na ukinifurahisha pia ah nachelewa basi kukurudishia furaha walaa!
 
Kwani huoni mshaanza kuichakachua hii interview bado mapema..............LO
ahahahhahahha watu8 mwaya hapa tunachakachua thread mwanzo mwisho!lol enhe hebu turudi kwenye maswali kwa The Boss lakini si yameshaisha jamani!au ndo tunaleta mlishonyuma!aahhahahhahhahha mi nimeacha Mtambuzi lol!huchelewi kuninyima dompo chimbo weye!
 
Last edited by a moderator:
Leo niko sehemu nimebanwa, natumia PC ambayo sio yangu na ina restrictions kibao so nashindwa kuquote, kumention na vitu vingine. Naomba mnivumilie tu.The Boss Liverpool!?! So you never walk alone! Nawaheshimu hawa jamaa ni winners/champions in history!Naamini The Boss katika maisha yako ya mahusiano na mapenzi lazima utakuwa na memories za vituko na kuchekesha! Hebu jaribu kushare nasi baadhi ya hizo memories za matukio, japo kidoogo.Halafu je, unafurahia kupata mambo sehemu gani ya home au nje ya home? Ni kwa 6*6, sofani, corridor, garden, nje ya nyumba, hotelini, vichakani (lol) au what is your favourite?Ninayo mengine, jibu haya kwanza. LOL!

Niliwahi share hapa zamani
niliwahi pata mwanamke mlokole
alipanda na biblia kitandani
katikati ya game akaanza na kunihubiria lol

kuhusu eneo.ni vizuri kubadilisha badilisha ili mradi its safe kufanya hivyo
msije kupigwa picha na kutolewa magazetini tu lol
so any place that is safe its ok..
 
The Boss,

You are my man...the gineous of JF...

Hata sijui nikupe zawadi gani.....utanambia baadaye....Big up!

Ila umenisaidia kwani siwezi tena kualikwa na hawa wadada!!

Babu DC!!


Babu Dark City usiogope, wewe utajibu kiutu uzima bwana, i mean kibabu babu.

Maujuzi yako tunayahitaji sana, utu uzima dawa.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi share hapa zamani
niliwahi pata mwanamke mlokole
alipanda na biblia kitandani
katikati ya game akaanza na kunihubiria lol

kuhusu eneo.ni vizuri kubadilisha badilisha ili mradi its safe kufanya hivyo
msije kupigwa picha na kutolewa magazetini tu lol
so any place that is safe its ok..

Kaka its ironic hakuna aliyeulizia "the guide" hahaha

Imeshakuwa ratified ivo lol
 
Tuambie ur most worst experience in sexy??funguka bwana tb sio unatjibu kiboss boss
 
hili swali ni very interesting....
Na watu wengi wakiulizwa wanachojibu na wanachokifanya in real life unaaweza kukuta ni tofauti sana..

Kadri tunavyokuwa tunazidi ku discover ukweli kuhusu sisi wenyewe

binafsi niliwahi kufikiri mwanamke mwenye wowowo kubwa ana ni turn on..
Lakini kumbe sivyo kabisa....
right now 'good sense of humor' na 'chemistry' vinani turn on zaidi
na kama yuko vizuri kwenye general knowledge....
Mtu ambae unaweza ongea nae chochote na kutaniana nae kirahisi....

kumbe umekua.
 
Hongera The BOSS kwa majibu mazuri na fasaha!

Pia na wapongeza Zinduna +Lara1 kwa kuendesha kipindi vyema!
 
Nimejibu hilo mbona?
tazama nimemmjibu Nasema kuhusu mlokole

he he tb usilete ulokole uboss mpaka huku
nilichomaanisha si hicho naweza kutoa mfano labda unielewe
mfano umemaliza game wazungu ukawamwaga ndani labda baada ya hapo ukaenda chumvini bila bidada kujiswafi....
Fungukaaaaa
 
Back
Top Bottom