MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

he he tb usilete ulokole uboss mpaka huku
nilichomaanisha si hicho naweza kutoa mfano labda unielewe
mfano umemaliza game wazungu ukawamwaga ndani labda baada ya hapo ukaenda chumvini bila bidada kujiswafi....
Fungukaaaaa

Hahahaaaaaa! Stop Harrassing the Witness!!!!!!!!!
 
Hongera The Boss kwa kuonesha sense kubwa ya maturity ingawa nina hisi walikuPM maswali ukajiaandaa kwanza (Kidding ofcourse). Hongera pia kwa waandaaji ingawa wameacha maswali muhimu kama hili:-

"Hudhani kwa uzi wako wa 'guide za infedality' unachangia kwa kiasi kikubwa kuhamasisha watu hasa vijana ambao they are looking up to you guys kusaliti ndoa zao na kuona kitu cha kawaida"?

na maswali more challenging kama hili:-

"kwa maoni yako, nini kifanyike ili kupunguza talaka ambazo kwa kiasi kikubwa huathiri malezi na ustawi wa watoto"

Kwa waandaaji, tujaribu maswali yaguse nyanja zote za mahusiano,mapenzi, urafiki na ikiwzekana malezi. Otherwise KUDOS, muanze kufikiria kubadilisha kazi kama sio maTV presenters!
 
Last edited by a moderator:

Hili lina shida gani wakati hizo ni proteins kama nyingine?

Mbona kuna watu wanakunywa damu mbichi?

Babu DC!!
 
The Boss umenifurahisha sana kwa majibu yako. Very matured. Ila pia nimegundua watu wengi kumbe tunashindwa mitihani kwa kutosoma maelekezo (instructions). Tuliambiwa tusiingilie mtiririko hadi Boss na amalize then tukaribishwe but watu tulianza kutiririka kama chemi chemi ya maji moto!!! Ha ha ha ila pia ilikuwa inatia hamasa kuingilia at. Keep it up the Boss, Lara 1, na Zinduna. Mada kama hizi zinasaidia sana kubadilisha fikra zetu sote.
 
Hahahaaaaaa! Stop Harrassing the Witness!!!!!!!!!

haya host tell me where did i harass him???
Na kama unaona hivyo usingequote ili niidelete post
ila nashangaa umequote harassment
 
Niliwahi share hapa zamani
niliwahi pata mwanamke mlokole
alipanda na biblia kitandani
katikati ya game akaanza na kunihubiria lol

kuhusu eneo.ni vizuri kubadilisha badilisha ili mradi its safe kufanya hivyo
msije kupigwa picha na kutolewa magazetini tu lol
so any place that is safe its ok..

Ha ha ha! Hapa u have made my day! Sipati picha mkuu TB upo straight yaani mzuka umepanda halafu unaanza kupewa mahubiri! Lakini si alikuwa anakufurahisha tendoni! Nitakutafuta unisimulie vzr hii!

Kweli mwanaume wa aina yake, hata hukumind kujipanga na man mwenzio kwa shori mmoja! Au unamaanisha kushare kivipi?

Kuna msemo mtaani eti mwanaume k*t**bew* ni kawaida.

Na kuna imani kwamba man hata awe ameshatoka na mabinti hata zaidi ya mia, atakuwa na mmoja ambaye ndio anamkubali zaidi na hata kama akioa atakuwa anamfeel na kumtokea akumbushie kiaina. Wewe unaye huyo usieweza kumsahau?

Nini maoni yako ktk haya?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
ahahahhahahha watu8 mwaya hapa tunachakachua thread mwanzo mwisho!lol enhe hebu turudi kwenye maswali kwa The Boss lakini si yameshaisha jamani!au ndo tunaleta mlishonyuma!aahhahahhahhahha mi nimeacha Mtambuzi lol!huchelewi kuninyima dompo chimbo weye!

Haya ngoja turudi mtani...ila sio siri The Boss ni moja ya watu ambao ni wanaJF ninao wa-admire katika angle moja tu, kuwakilisha mwanaume thabiti asiyeyumbishwa....
 
Last edited by a moderator:
ha ha we babu umeniacha hoi
kwanza chikamoo

Mbona unanisalimia bila kupiga magoti wewe amu?

Anyway..marahaba,

Ulipokuwa mdogo hukuwahi kuweka kidole puani na kuhamishia mdomoni??

Kama bado basi ujaribu hiyo experiment kwanza!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera The Boss kwa kuonesha sense kubwa ya maturity ingawa nina hisi walikuPM maswali ukajiaandaa kwanza (Kidding ofcourse). Hongera pia kwa waandaaji ingawa wameacha maswali muhimu kama hili:-

"Hudhani kwa uzi wako wa 'guide za infedality' unachangia kwa kiasi kikubwa kuhamasisha watu hasa vijana ambao they are looking up to you guys kusaliti ndoa zao na kuona kitu cha kawaida"?

na maswali more challenging kama hili:-

"kwa maoni yako, nini kifanyike ili kupunguza talaka ambazo kwa kiasi kikubwa huathiri malezi na ustawi wa watoto"

Kwa waandaaji, tujaribu maswali yaguse nyanja zote za mahusiano,mapenzi, urafiki na ikiwzekana malezi. Otherwise KUDOS, muanze kufikiria kubadilisha kazi kama sio maTV presenters!

OK ni hivi
ukiona ile guide utagundua tulikuwa tunawaonesha watu jinsi ilivyo
hatari sana kumfanyia ukatili mwenzio waziwazi
ndo maana issue kubwa ilikuwa kumlinda mke
asijue na akijua basi hatua zichukuliwe kumlinda
na mwisho nilionza na mifano ya pombe na sigara
ilikuwa kusisitiza 'you dont have to do it
but ukifanya take precautions ...

Kuhusu Talaka tumeliongelea mno humu
hazifai na zinaharibu familia lakini
'bad marriages' pia zinaharibu familia na wahusika...
so mwisho ni kupima na kuchagua....
 
The Boss umetisha mkuu
Hongera sana kwa majibu yako ambayo ni somo tosha sana kwa hata sisi wanaume ambao tumo humu
(sijui una ndoa ila kama ipo mkeo atakuwa mtu wa furaha sana maishani mwake if u practice kile ambacho umekiweka hapa) Hongera sana na naweza sema wewe ni member wa JF ambaye namkubali san akwa michango yako na ushauri wako na the way unavyohandle mambo na pressure kutoka kwa members ambao wana majibu ya ajabu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Hapa u have made my day! Sipati picha mkuu TB upo straight yaani mzuka umepanda halafu unaanza kupewa mahubiri! Lakini si alikuwa anakufurahisha tendoni! Nitakutafuta unisimulie vzr hii!

Kweli mwanaume wa aina yake, hata hukumind kujipanga na man mwenzio kwa shori mmoja! Au unamaanisha kushare kivipi?

Kuna msemo mtaani eti mwanaume k*t**bew* ni kawaida.

Na kuna imani kwamba man hata awe ameshatoka na mabinti hata zaidi ya mia, atakuwa na mmoja ambaye ndio anamkubali zaidi na hata kama akioa atakuwa anamfeel na kumtokea akumbushie kiaina. Wewe unaye huyo usieweza kumsahau?

Nini maoni yako ktk haya?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Misemo na imani za mitaani ipo tele
sio muhimu kuishi kwa kuamini kila unachosikia hasa vya mitaani
wengi wanazungumza kuhusu sex wakiwa vijana mno

But maisha yanavyokwenda as we mature....life partners hatuwa base kwa sex only...
kumbuka its life partners hapa tunazungumzia....
unaempenda kweli una share nae your life
huwezi sema kuna mtu nampenda kweli wakati umemuacha aishi na mtu mwingine
 
hongera The Boss kwa kujibu maswali vizuri. Nimechelewa but nimefuatilia kwa karibu maswali na majibu. Mimi pia ni fan wako saaaaanaaa aaaa. Yani kwa kifupi nakufagilia lol... kinachonivutia zaidi ni avatar yako na namna unavyochangia mijadala mbalimbali.. .

- kwanza kama hutojali hebu tuambie age range yako
-pili... huwa naona wewe ni mojawapo ya wapambe wa thread za mipango ya kando, but kulingana na interview ya leo nimeona kama ni mtu ambae unamjali na kumpenda mkeo... JE! hayo uliyoyaandika ni kweli au ? na Je ishu za mipango ya kando(in reality) unazifagilia au huwa unashabikia tu?
-
 
Back
Top Bottom