mmh!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
2lwpq20.jpg
 
Hata mama yake aliyemzaa sidhani kama alishawahi kumheshimu hivo hata siku moja!!!!!!! walah hiyu ni chizi, Enzi za ujana tulibishana kijiweni, jamaa mmoja akasema akipewa elf30 tu anaweza kujisaidia hadharani kisha kuzoa kinyesi bila aibu yoyote.......walah huyo jamaa alitimiza masharti na kunichomoa buku30!!!! MAISHA MAGUMU KWA BAADHI YA WATANZANIA!
 
Jamani hiyo ni heshima au uoga? kazi ipo.

That's typical boot licking! Watanzania wengi sana wanapenda kulamba viatu!

Ndio maana utakuta watu na heshima zao wanakunja mikia kwenye mata..ko wakiwa kwenye que kumsalimia mtu mdogo kama DC au RC. Na ikitokea ni PM au waziri wa kawaida ndo usisema. Akipiga picha naye inakuwa kama kapiga bingo ya $100m. Na ndo huo upuuzi anaoutumia JK.

Ukiona mtu mwenye akili timamu yuko kwenye hizo nguo zao basi ujue kuwa ni looser wa kutupa!
 
Hiyo ni jadi ya utumwa. Tunahitaji ukombozi wa kweli kuondokana na fikra kama hizo. Inapofika hali ya mke wa rais kusujudiwa kiasi hicho, sijui angekuwa rais mwenyewe ingekuwaje.
Mungu Tunasue kwenye mtego huu.
 
Mmmmmmmmmh! kwan huyu mama zaidi ya kuwa mke wa Rais , kwa sasa kipindi hiki cha kampeni ana cheo gan? mpaka asujudiwe ? Na kwa nn? Huuu ndo utumwa!
 
Hata mama yake aliyemzaa sidhani kama alishawahi kumheshimu hivo hata siku moja!!!!!!! walah hiyu ni chizi, Enzi za ujana tulibishana kijiweni, jamaa mmoja akasema akipewa elf30 tu anaweza kujisaidia hadharani kisha kuzoa kinyesi bila aibu yoyote.......walah huyo jamaa alitimiza masharti na kunichomoa buku30!!!! MAISHA MAGUMU KWA BAADHI YA WATANZANIA!
Aisee we jasiri
kwa hiyo ulimshuhudia jamaa akichutama na KUKATA GOGO barabarani kisha akainama na kuliezua? hahahahaha hehehehe
pesa mwanawake ni haram kweli kweli
 
Back
Top Bottom