mmh!

Naomba ubadilishe/improve hiyo heading ivutie zaidi kufugua post yako.

unaweza kupendekeza heading unayoona inafaa coz mie nimekosa cha kuandika zaidi ya kuguna,kila nilichotaka kukiandika nimeona hakifai nikafuta!
kama mama aliyenizaa simsujudu kwa magoto sidhani kama kuna binadamu anastahili kupigiwa goti langu,na wala hata niwe na cheo cha aina gani siwezi kumruhusu binadamu mwenzangu anipigie goti!
ishara za kitumwa hizo!
 
Hawa ndio wanaccm.......hata hajui kesho atakula nn lakini anampigi mtu magoti! Bsht!
 
Samahani, maana na mimi nimekosa heading inayofaa, nimebaki naduwaa. Hivi kweli hii ndio Tanzamia yetu ndio tumefikia hapa? Halafu nimeona sehemu nyingine vijana wamepigishwa gwaride wakimpokea Ridhiwani. Na kale Karidhiwani kadogo nako kapi wapi maana nimeamua kufanya collection ya hii 'royal family' kwa matumizi ya kitaaluma. (academic).
 
Hawa ndio wanaccm.......hata hajui kesho atakula nn lakini anampigi mtu magoti! Bsht!

Hii ni strategy muhimu ya CCM. Ukitaka kumfuga mbwa na ili awe na adabu basi usimpe chakula akashibda! Jamaa wamefanikiwa sana kwani naamini ingewezekana siyo huyu tu, bali hata baba, mama na ukoo wake wote wangelamba viatu vya mke wa mkwere! Shame, shame shame to all of them (aliyepiga na kupigiwa magoti)!!!

Samahani, maana na mimi nimekosa heading inayofaa, nimebaki naduwaa. Hivi kweli hii ndio Tanzamia yetu ndio tumefikia hapa? Halafu nimeona sehemu nyingine vijana wamepigishwa gwaride wakimpokea Ridhiwani. Na kale Karidhiwani kadogo nako kapi wapi maana nimeamua kufanya collection ya hii 'royal family' kwa matumizi ya kitaaluma. (academic).

Mbona hapa tulishafika siku nyingi? Kwetu kulikuwa na mwenyekiti wa Kijiji kwenye miaka ya 80 na 90, alikuwa anacharaza viboko wanaume saa yoyote na hata kwa mambo ya kijinga. Kila kitu kilikuwa mali zake hata mabinti zetu. Alimcharaza jamaa halafu akalazimisha na kumuoa binti yake. Jamaa alihama kijiji! :mad2::mad2::mad2:
 
Aisee we jasiri
kwa hiyo ulimshuhudia jamaa akichutama na KUKATA GOGO barabarani kisha akainama na kuliezua? hahahahaha hehehehe
pesa mwanawake ni haram kweli kweli

Pesa inaweza kufanya mtu ambacho hata shetani anaogopa!!
 
Back
Top Bottom