Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,951
Kuna sabubu, na sababu hiyo ni wivu tu. Ingieni vijiji vya Kilimanjaro muone kama hawaishi vizuri kuliko hata huko Dar kwenu kwenye kila aina ya kadhia. Moshi wanongoza Tanzania kwa kila kitu, kama hutaki waulize wenye mabenki watakuambia tu, Wachagga wanaongoza kwa kutumia huduma za benki Tanzania, vijijini, milami kibao, maji , umeme, nyumba safi,hospitali, mishule etc etc halafu wanaongoza kwa upinzani dhdi ya Magamba na mafisadi wake. Chezea these people wewe?