Mmezidi sasa kuwaonea wachagga jamani...!!!

Mmezidi sasa kuwaonea wachagga jamani...!!!

white-people-stole-my-car.jpg

umenikumbusha hii kitu bana ndio yale yale..
 
MIMI NAONA KAMA WANA ISSUE ZA KISHAMBA TU. ETI WAO WANAJUA HELA KULIKO WATU WENGINE. BASI BAKHRESA, MUNIFU nao wangekua wachaga.
 
ahahahha heri ya wachaga kwakweli maana me nimesearch hapa wasukuma ni wezi....link ya kwanza kutokea ni wasukuma ni wachawi
 
MIMI NAONA KAMA WANA ISSUE ZA KISHAMBA TU. ETI WAO WANAJUA HELA KULIKO WATU WENGINE. BASI BAKHRESA, MUNIFU nao wangekua wachaga.

akili zako ni sawa na nickname yako, kyasaka kweli wewe!
 
Mara zote mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe
Mara chahe utasikia wakisemwa Wamakonde, wamwera, wapangwa, wangoni, wazaramo,waha, wahehe,
wabena, wakerewe,n.k bali utasikia Wahaya, Wachaga, Wanyakyusa,na Wakurya kila siku...
Ni kwa sababu wanayo mambo ya kuwazungumzia yawe mabaya au mazuri. Kazeni buti maana watawasemaaaa
weee lakini hawatalingana nanyi...
 
Back
Top Bottom