Huyu harudii tena

Huyu harudii tena

kamdinyo

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2026
Posts
254
Reaction score
694
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
 
Si ungempa tu hako kamdinyo
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Si ni rahisi tu kukujua sasa! Huna haja ya kuficha ID
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom