Mmachinga Atakapouawa...

Mama pia awe makini maana hawahawa ndio wanaweza wakaanzisha maandamano ya kumtoa madarakani.

Na uhakika hawa jamaa wakisimama kidete, polisi hawawezi fua dafu, na hapo ndipo awamu ya sita tutaanza kuona mapichapicha ya ajabu.

Ustaraabu ufuatwe.
Aah wapi..wangeshaandamana kitambo..huoni wanaovunjiwa vibanda vyao na wametulia tu na wengine wanahama wenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unamuwakilisha nani maana wamachinga walikwisha kubali kuhama, naona umeingia leo toka Mtwara.
Hakuna mmachinga aliyeama kwa hiyari muda wowote kitanuka ndio maana kila kona wamemwaga mapolisi.

Vibanda vinavunjwa usiku asubuhi unakuta mtaa wote msafi....machinga gani wanahama usiku wa manane.

Jazaneni ujinga tu soon mtakipata mnachokitafuta watu wana hasira sana kumnina
 
Mbona km unateseka mkuu? Haijapingwa machinga kuondolewa, ila jinsi ya kuwaondoa kwa kulinda mitaji yao.
 
Kwahiyo mkuu Machinga waachwe waendelee kufungua biashara kila sehemu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Hapana Mkuu lakini ni tatizo sugu hili badala ya kulitafakari kwa kina WANAKURUPUKA na huu ambao tunaweza kuuita uvamizi ambao unaweza kabisa kuleta maafa makubwa. Wangechukua hatua kwanza ya kuzungumza na Viongozi wa Wamachinga namna ya kukamilisha zoezi hili smoothly kabla ya kuamua kutumia nguvu na kusababisha hasara kubwa kwa Wamachinga.

Kwahiyo mkuu Machinga waache waendelee kufungua biashara kila sehemu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama pia awe makini maana hawahawa ndio wanaweza wakaanzisha maandamano ya kumtoa madarakani.

Na uhakika hawa jamaa wakisimama kidete, polisi hawawezi fua dafu, na hapo ndipo awamu ya sita tutaanza kuona mapichapicha ya ajabu.

Ustaraabu ufuatwe.
Hahahaha unaota mkuu et waanzishe maandamano ya kumtoa Rais 🤣🤣🤣
 
We mpuuzi una uhakika kuwa hao machinga hawajui waende wapi? Unajua kwa mwezi mzima wakurugenzi , Wakuu wa wilaya na Mikoa wamekuwa wakifanya nao vikao kuwaelimisha kuhusu maeneo yao mapya?

Kwa iyo miji iwe michafu tu kwa ajili ya matumbo ya watu?? Una akili kweli wewe?
 
Mama pia awe makini maana hawahawa ndio wanaweza wakaanzisha maandamano ya kumtoa madarakani.

Na uhakika hawa jamaa wakisimama kidete, polisi hawawezi fua dafu, na hapo ndipo awamu ya sita tutaanza kuona mapichapicha ya ajabu.

Ustaraabu ufuatwe.
Serikali haiondolewi kwa maandamqano ya wiki moja.

Tatizo la bongo, kila mtu anataka mabadiliko lakino anataka kuona wengine wanayapambania huku yeye akiwa amekenua mineno tu ana-twiti huku ameshika chupa ya wine. Stupid
 
Hahha watanzania ni viumbe waoga sana 😅😅
 
Unaambiwa hao wamachinga kuondolewa watu wameshangweka kuanzia watembea kwa miguu bajaji bodaboda na haswa wenye maduka au tuite frem za biashara.

Huko ulaya jitulize tu maana hata nguvu zako za kuandika zimeisha, siyo wewe wa kuanzisha uzi wa mistari miwili.

Rudi nyumbani.
 
Habari ya chato?

Naona unaumia sana Samia kuwa Rais? Poleee
 
Unafuatilia local media??

Maana Makala alikuwa anafanya vikao kibao tu na wawakilishi wa Wamachinga..

Sidhani kama kuna utaratibu mwingine mzuri zaidi ya kumwambia mtu ahame sehemu ambayo hata yeye anajua sio sahii..akikaidi nguvu lazima itumike.

Itafika muda tutahalalisha hata kupora vyakula kwenye maduka kisa tu mtu ana njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…