Magurudumu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,748
- 493
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?
najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.
Mbona mtu wa pili kutoa ripoti ana lafudhi ya kiswahili cha Mombasa kenya?
Vijana wa kiislamu wenye tabia hizi ovu Mtume swallah allah alaih wasalam kawaita wapumbavu wa akili.
Kuna watu wengine siku hizi hata ugomvi wa mgao wa ubwabwa tu hutumia mabomu...
Ukichunguza sana utagundua sababu ya kurusha bomu ni upumbavu tu...
Al shabaab waue waislamu mkuu?
Haya ni MAIGIZO ya watu wanaolazimisha watu kukubali serikali mbili, kwa hoja mfu!!!
Nafikir polis wmeshindwa kuthubit masuala haya ya mabomu.
Wanasuburi hadi taarifa za kiinterejisia zipatikane ndo wachukue hatua wkt huo wanachi tumeshalipuliwa na kufa.
Tayari wanaonekana wanafiki na wakipewa ulinzi watazidi kujiridhisha kuwa hawa Masheikh wa aina hii wanatumiwa na makafiri; watasema "ushahidi gani mnaoutaka wakati mnaona wenyewe watu wenyewe wanapewa ulinzi na makafiri"
Nionavyo mimi njia bora ni kuendelea na daawah kama kawaida iwe kama vile hakuna kilichotokea! atakaeuliwa atakayejeruhiwa, atakayepigwa itakuwa fii sabiyl lllaah inshaallah lakini mwisho wa yote Waislamu wataelewa ukweli na daawah ya haki na Uislamu sahihi utasimama nchini.[/QUOTE
Haki itasimama inshaallah hata kama watafanikiwa kumuua sheikh kassim lakini tayari vijana wameanza kupata ufahamu wa da'wah yake.
mkuu ni kweli usemayo lakini laiti wangejaaliwa kumsikia kassim mafuta wale wenye jazba na vurgu za kidini labda wangetulia kwa kuwa ni mmoja wa masheikh wachache hapa Afrika mashariki wanaouelezea uislam katika sura yake halisi, kinyume na wengi wanaohamasisha watu kufanya machafuko.
mwenyeezi mungu amnusuru yeye pamoja na wote waliosimama katika haki inshaallah.
Hapana mkuu, kama una bifu na jirani yako muislam muite muelewane. Janga hapa ni CCM wanaotaka kutugawa kwa misingi ya dini,ukanda na ukabila. CCM ni janga la kitaifa,hawa jamaa ni manyani. Wako tayari hata kuua mtu wao ili wasingizie wapinzani.Uislam ni janga la dunia
Ukitengeneza kiota ndege watatua tu... huu ni wakati wa kutotoa...
Unamaanisha nini?
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?
najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.
Walio muua ni wakristo wa bara
Wanahofu na mamlaka kamili znz
Ni kina lukuvi
Anamaanisha kwamba jipu halifungwi POP bali hutumbuliwa. Kama hata hapo hujaelewa ni kwamba mafunzo ya kigaidi yaliandaliwa kudhuru Wakristo lakini ndani ya waislam kuna binadamu wema wamekuwa wakipinga na hayo ndiyo malipo wanayolipwa, Mungu awasamehe dhambi zao na azipokee Roho za watetezi hao wa amani katika nchi hii, naomba hayo kwa jina la Yesu Kristo, Amen.
Muungano Upo tunapigwa mabomu risasi, uchaguzi kuchukuliwa,kuekewa rais kibaraka wa dodoma, nadhani ukivunjika Haya yote yataisha,ule mfumo wa kuingilia na kutoka zanzibar kwa passport urudishwe,saa hivi majambazi wote na mamafia wa ccm na wale walipewa mafunzo kanisani na lukuvi wako zanzibar ili kuhakikisha kuwa zanzibar inadhibitiwa,na Haya yote ni kuichafua zanzibar ili kuonekana kuwa tuna vita vya kidini,Mbona Haya hayakuwapo kabla mfumo wa vyama vingi?Muungano bado upo, sarakasi; ukivunjika itakuwaje? Na bado. Waumini wa muungano tunasema utadumu tu ili kuwalinda ndugu zetu wazanzibari wasio na hatia. Kina jusa ni wa kupuuzwa.