Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

Simple, ulijua unatafutwa keep low profile, tumia VPN, usitumie namba yako kumpigia mtu, badili namba, usipigie nao ndugu na jamaa maana nao watakuwa wanafuatiliwa iji wajue Sasa unatumia namba Gani, mawasiliano tumia signal, telegram au hata Whatsapp, maana bongo bhana sana hawana teknolojia ya kuacses, labda Facebook.

Camouflage sura yako kwa kofia, barakoa, au hata namna nyingine, Slow slow anaweza hata kufika nje ya ikulu na kupiga picha au video na asijulikane, Kisha anaondoka kwenda eneo lake salama alilochagua kujificha na kuishi Kisha anapost
 
Bongo digital tracing ni ngumu dana
 
Kitendo cha yeye kujificha ni anadhihirisha kwamba serikali huwa inatumia ubabe kwa wakosoaji --- na serikali hii toka taifa hili linaanza ni ya chama chake
 
Huyu dogo nafikiri huko Cuba alikuwa akipiga shule ya ukachero pia. Haiwezekani kuwa genge la utekaji na mauaji la Bi Chura Kiziwi liwe halijamtia kwenye mikono yake..!!

Kila mtu ndani ya CCM anapiga chafya ya kukerwa maana kakinukisha hasa ndani ya CCM mpaka Mwenyekiti wake Bi Samia naye ananuka kweli...❗❗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom