Hiiii ikulu yetu ambayo kwenye louvers imewekwa maplastic usichungulie hasa najiulizaga hawapendi hewa nzuri.Simple, ulijua unatafutwa keep low profile, tumia VPN, usitumie namba yako kumpigia mtu, badili namba, usipigie nao ndugu na jamaa maana nao watakuwa wanafuatiliwa iji wajue Sasa unatumia namba Gani, mawasiliano tumia signal, telegram au hata Whatsapp, maana bongo bhana sana hawana teknolojia ya kuacses, labda Facebook.
Camouflage sura yako kwa kofia, barakoa, au hata namna nyingine, Slow slow anaweza hata kufika nje ya ikulu na kupiga picha au video na asijulikane, Kisha anaondoka kwenda eneo lake salama alilochagua kujificha na kuishi Kisha anapost
PostaKwani ni wapi hapo?
Muulize Mange au Maria Sarungi.Unauliza kama vile umetoka kwenye comma.Kwani haruhusiwi kuwepo hapo alipo
Nakubaliana na wewe hii inaweza ikawa ya mwaka juziHuyo wala asiwasumbue kichwa hayo anayoyafanya leo wala maamuzi hayo hakuyachukua jana wala juzi.
Huo mpango wa kujiuzulu na kuyafanya anayoyafanya huenda alishauanza miaka hata miwili au hata mitatu huko nyuma au hata mwaka nyuma.
Kumbuka alikuwa balozi wa Cuba na unajua nchi hyo inaongoza kwa kitu gani so connection ya kuchorewa ramani ya anachokifanya leo huenda kuna mkono wa alikokuwa anafanyia kazi kama balozi.
So kwa mtu ambae ana knowledge ndogo tu ya ujasusi lazima ajue nikifanya kitu fulani na fulani lazima kuna reaction fulani zitatokea kwa hyo je zikitokea natakiwa kuchukua njia gani?
Hapo huenda hyo video aliichukua hata mwaka jana na ili kuwadaka vizuri akaichukua usiku sababu alijua tu baada ya kuyafanya aliyoyafanya lazima atatafutwa so ili kuwachezea shere watafutaji lazma niwafanyie hiv na hivi ili wajue niko Tanzania.
Na siyo hilo tu bali kuna mengi sana yanakuja lakini ninahakika yote hayo ni package ambayo ameshaiandaa so kwa sasa anatoa tu series kulingana na situation iliyopo.
BUT "UJASUSI NI MCHEZO NA ALWAYS MSHINDI NI YULE ATAYETEGUA MTEGO WA MWENZIE SO TIME WILL TELL
"PAKA MWENYE KUIJALI KESHO YAKE HAWEZI KUMLA PANYA MWENYE MIMBA"
JE
Tanzania ipi yupo, hii hii ambayo mpaka malaya wanaonekana wazi wazi, yeye anayetaka mabadiliko haonekani vizuri! Halafu anathubutu kusema cdm wamekosea kuacha kushiriki uchaguzi, wakati yeye anayetaka mabadiliko kama cdm anatengeneza clip za usiku mzito! Anaogopa nini kama ni rahisi kupata mabadiliko? Huyo anatakiwa akamatwe alawitiwe vibaya, ila avune siasa za kishenzi walizokuwa wanafanya chini ya dhalimu magu.Mpaka sasa hakuna AI sophisticated ya kuweza kutoa facial structure ,skin details, eye texture resolution na clarity kama ya kwenye hiyo video na ikawa consistent Kwa hiyo duration. Ifike mahali jifunze kuukubali ukweli ata kama huutaki
Hii theory nakubaliana nayo🤣Hii alijiandaa mapema kabla ya kujiuzuru .ki ukweli hayupo nchini
Ana ogopa nini? Mpaka asiwepo?Hii alijiandaa mapema kabla ya kujiuzuru .ki ukweli hayupo nchini
KabisaWith AI anything is possible
Punguza ku complicate life mazee daah kwa hiyo kucheza muzik ni upumbavu...Huyu jamaa kweli napenda anavyowapopoa Ccm lakini kitu anachonikera ni upumbavu km huu, ku post post vitu vya kijinga kama hivi mara acheze nyimbo za akina Alikiba.
Si kila muda kuwa serious, kaongea sana kuna muda anapoza rejetaHuyu jamaa kweli napenda anavyowapopoa Ccm lakini kitu anachonikera ni upumbavu km huu, ku post post vitu vya kijinga kama hivi mara acheze nyimbo za akina Alikiba.
Mission tayari imetickHumphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
😂😂😂😂 WaaaaahMuulize Mange au Maria Sarungi.Unauliza kama vile umetoka kwenye comma.
Huu mfano umekaa kibinadamu Sana😃😀😆😄"PAKA MWENYE KUIJALI KESHO YAKE HAWEZI KUMLA PANYA MWENYE MIMBA"
Video ambayo haina uthibitisho wa tarehe haina uthibitisho wa maana.Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487