Pole pole yupo Mwananyamala Komakoma
Hakuwahi kuwa makiniHuyu jamaa kweli napenda anavyowapopoa Ccm lakini kitu anachonikera ni upumbavu km huu, ku post post vitu vya kijinga kama hivi mara acheze nyimbo za akina Alikiba.
Unaambiwa yuko Mwananyamala... nani ana shida nae? ... AACHE KUJIPENDEKEZA, ATOKE HADHARANI NA APEWE ULINZI KAMILI!
😅
Mala nyingine binadamu tunashauriwa kujizuia kutumia hisia zetu kupingana na fact. hatupaswi kubishana na facts hata kama hisia zetu hazi amini fact husika. Kama hauamini kitu fanya utafiti ili upate fact za kuweza ku prove wrong au kuthibitisha hisia zako.Hii alijiandaa mapema kabla ya kujiuzuru .ki ukweli hayupo nchini
Huyo ni usalama was taifaHuyu jamaa kweli napenda anavyowapopoa Ccm lakini kitu anachonikera ni upumbavu km huu, ku post post vitu vya kijinga kama hivi mara acheze nyimbo za akina Alikiba.
😄 🤣Hiiii ikulu yetu ambayo kwenye louvers imewekwa maplastic usichungulie hasa najiulizaga hawapendi hewa nzuri.
Akija utasema aje tena asubuhiMbona usiku sasa?
Aje hapo mchana au zile press zake ataje venue waandishi waje physically pale.😁
AI imekuja na janga jingine kwa watanzania. Hata kwenye ukweli, tulivyo wabishi tutakuwa tunasema ni AI. Na mbaya zaidi kwenye tech tuko nyuma sana hivyo kila kitu kitaitwa AI!With AI anything is possible
huyo ni kama kirusi, wanaweza wakawa na access ya kumpata ila wakauchuna kwanza kujua godfather wake ni nani.. hiyo ni kama honeypot 🍯Sema huyu jamaa siku wakimnata namuomea huruma sana. Na sis watanzania tutaishia tu ku post bila kufanya lolote
Namhurumia sanaahuyo ni kama kirusi, wanaweza wakawa na access ya kumpata ila wakauchuna kwanza kujua godfather wake ni nani.. hiyo ni kama honeypot 🍯
huyu ndio niguse ninuke sio yule alie guswa akanuka
Nawe unaaminiHumphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
Hivi mtu kama Polepole anaweza kudanganya yuko ndani ya Tanzania bila uhamiaji kujua? Ina maana kama uhamiaji hawajui basi alitumia njia za panya kuingia kitu ambacho sidhani kama anaweza kukifanya kwa sababu watakuwa wamepata sababu nzuri sana ya kumshughulikia.Huyo wala asiwasumbue kichwa hayo anayoyafanya leo wala maamuzi hayo hakuyachukua jana wala juzi.
Huo mpango wa kujiuzulu na kuyafanya anayoyafanya huenda alishauanza miaka hata miwili au hata mitatu huko nyuma au hata mwaka nyuma.
Kumbuka alikuwa balozi wa Cuba na unajua nchi hyo inaongoza kwa kitu gani so connection ya kuchorewa ramani ya anachokifanya leo huenda kuna mkono wa alikokuwa anafanyia kazi kama balozi.
So kwa mtu ambae ana knowledge ndogo tu ya ujasusi lazima ajue nikifanya kitu fulani na fulani lazima kuna reaction fulani zitatokea kwa hyo je zikitokea natakiwa kuchukua njia gani?
Hapo huenda hyo video aliichukua hata mwaka jana na ili kuwadaka vizuri akaichukua usiku sababu alijua tu baada ya kuyafanya aliyoyafanya lazima atatafutwa so ili kuwachezea shere watafutaji lazma niwafanyie hiv na hivi ili wajue niko Tanzania.
Na siyo hilo tu bali kuna mengi sana yanakuja lakini ninahakika yote hayo ni package ambayo ameshaiandaa so kwa sasa anatoa tu series kulingana na situation iliyopo.
BUT "UJASUSI NI MCHEZO NA ALWAYS MSHINDI NI YULE ATAYETEGUA MTEGO WA MWENZIE SO TIME WILL TELL
"PAKA MWENYE KUIJALI KESHO YAKE HAWEZI KUMLA PANYA MWENYE MIMBA"
JE