Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,000
Reaction score
861,690
Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.

Kwa kuwa hakuna mamlaka iliyowahi kusema kuwa inamshikilia, umma umebaki kukisia na kuokoteza taarifa ikiyumkini inaweza kutokea taarifa iliyobeba ukweli. Kwa sababu hiyo hiyo ni vigumu kwa askofu kwenda kumuulizia au kumtafuta Polepole katika mamlaka yoyote ile.

Hata hivyo, nauweka ujumbe huo hapa kwa ajili kuleta hamasa ya maombi ili kumuombea hata kumpazia sauti zaidi yumkini wanaomshikilia wanaweza kuzidiwa au kuogopa kelele nyingi.

Tukikata tamaa na kuacha kupiga kelele juu ya Balozi Humphrey Polepole hata wengine kama Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka, Kaswahili, Chaula, Mbise, Mlay, nk tutarajie watu wengi zaidi kuendelea kutekwa na kupotezwa katika siku za kwenye kipanda uso.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Agosti 2026; Saa 7:35 usiku

UJUMBE KUTOKA NDUGU WA POLEPOLE!

Nakusalimu Baba Askofu Mwamakula!
Nisamehe nakuandikia usiku. Nimeona taarifa mtandaoni, ina viashiria kuna ukweli katika hili. Ikupendeze na iwe ni vyema kwako ninaomba uende Ukonga ili kusudi ukamuone Mhe. Balozi Humphrey Polepole, kwa maelekezo ya ujumbe wa mitandaoni kuwa Polepole yupo Ukonga!

Ni mimi K. L. P.,
Ndugu yake na Humphrey Polepole.
5 Septemba 2026
1788574584402.jpg
 
5 Septemba 2026View attachment 3663657
Wapi alipo balozi emmanuel nchimbi?
Polepole aliwahi kutuambia kuwa balozi nchimbi ni mwana mtandao.
 
Huyo ndugu wa PolePole Hana akili
 
Utawala huu ni wa kishetani kabisa.yaani unamteka mtu mzuri kama polepole ili upate nini?badala ya huyu mmama angekuwa anazifanyia kazi nondo zake ili kuleta maendeleo kwa wananchi. Huyu mama wakudhibiti mapema kabisa maanaana,idi kuzoea kuteka mwisho atatuteka wote.
Allianza JPM
Huyu kaja kakoleza chumvi na pilipili kabisa

Wanwake wanaweza
 
Back
Top Bottom