Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm

Hapa ni narrative, malengo yao hayajafanikiwa na si kwasababu hamas ni wazuri but idadi ya raia wasio na hatia wanao uwawa and lastly wana loose international support kwa speed ya 4g
 
Allahu Akbar.
Allah kachemsha, watoto kina mama wanakufa yeye anaangalia tu! Tumia akili yako wewe! Amka toka usingizini!

More children killed in Gaza in four months than in four years of war globally: report​

More than 12,300 children have been killed in Gaza since October, according to the Gaza Health Ministry, surpassing the number killed in conflicts around the world from 2019 to 2022.

The Palestinian death toll from the war has surpassed 33,200 with nearly 76,000 people wounded, Gaza’s Ministry of Health said on Monday. Women and children make up two-thirds of the dead.

Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm

Bibi ushaswali????
 
Kafiri moga hatari. Kwanza kufa anaogopa ndio maana anatumia silha nzito na kuomba msaada kila pande. Muislam kufa kwake faraja hasa akiwa anapigania haki yake.
 
images (1) (6) (1).jpeg
 
Kafiri moga hatari. Kwanza kufa anaogopa ndio maana anatumia silha nzito na kuomba msaada kila pande. Muislam kufa kwake faraja hasa akiwa anapigania haki yake.
Tazama hii clip, mizayuni ni mioga kijinga:

Hapa ni narrative, malengo yao hayajafanikiwa na si kwasababu hamas ni wazuri but idadi ya raia wasio na hatia wanao uwawa and lastly wana loose international support kwa speed ya 4g
Kuu;liwa watoto hakujaanza leo wala jana. Miaka zaidi ya 70 sasa.
 
Hueleweki ww hasira za nini kwan watoto na wamama wa Gaza waliouliwa unaundug nao kwa nn unachukulia personal vitu hiv we post Uzi tembea na kubali challenges Kwan ww ndio Hamas wanakujua si uko za kiem hapo af unajikuta mwarabu hata kiarabu hukijui
Kama hujaelewa siyo tatizo langu, ni shule ulienda kusomea ujinga.
 
Hivi huelewi kuwa wapigania uhuru wa dunia nzima tupo kwenye hii vita?
Uhur gan unapigania ww dada 😂😂 mchango Gani ww unautoa kwenye kupigania uo uhuru unajulikana wap ww je umefika hatua gan hadi sasa uyo osama wa hamas hata anakujua je hapa tz ushawai simama barabarn umebeba hata bango la free Palestine au kujulikana Jf unavimba et unapigania uhuru uko humu kupasha watu habari. Ndio kazi Yako endelea nayo sio useme umepigania uhuru ww na Mandela ni sawa maana yeye alipigania ww umepigania wa wapi tuweke sanam Yako pale posta
 
SIGNS OF VICTORY IN GAZA
........................
The signs of victory in Gaza are numerous despite the pains, despite the rivers of blood, and the horrors of destruction. Six months after the genocidal war on Gaza, we re-ask the fundamental questions:

1. Has the legitimate resistance in Gaza been eliminated? No

2. Has the legitimate resistance in any part of Gaza been eliminated? No

3. Has the ability to launch rockets from Gaza been eliminated? No
4. Has the leadership of the legitimate resistance in Gaza been eliminated? No
5. Has the legitimate resistance retracted any of its conditions? No
6. Was the plan to displace Gaza's population to Egypt successful? No
7. Has the tunnel warfare capability been eliminated? No
8. Has Israeli occupation remained united in waging the war? No
9. Has the international stance remained united with Zionest state ? No
10. Was the plan to hand over governance of Gaza to tribes successful? No
11. Was the plan to control aid through a force linked to Faraj in the Palestinian Authority in Gaza successful? No
12. Was the starvation plan successful in subduing the resistance? No
13. Was the idea of entering Arab forces into Gaza successful? No
14. Was the plan to hand over governance of Gaza to the Palestinian Authority successful? No
15. Was Egypt able to subdue Gaza by closing the Rafah crossing? No
16. Was the Zionist propaganda in the West successful? No
17. Did the zionest state succeed in preventing a Security Council resolution to stop the firing? No
18. Did the zionest state succeed in preventing a lawsuit against it in the International Court of Justice? No
19. Has American support for the zionest state remained the same? No
20. Did America and Britain succeed in protecting the zionest state ships in the Red Sea? No
21. Did the zionest state succeed in stopping attacks from Lebanon? No
22. Did zionest state bring back settlers to the Gaza envelope and its north? No
23. Did the zionest state succeed in subjugating the cities of the West Bank? No
24. Did Al Arabiya, Sky News, and all Arab Zionists succeed in demonizing the Palestinian resistance? No
25. Did the Jordanian regime succeed in preventing its people from besieging the zionest state embassy? No
26. Did the zionest state succeed in fighting UNRWA and neutralizing international relief campaigns? No
27. Did the zionest state succeed in preventing Al Jazeera from conveying the truth? No
28. Did Facebook, Twitter, and Instagram succeed in blocking Palestinian content? No
29. Did the zionest state succeed in preventing worshippers from the Al-Aqsa Mosque? No

After six months of genocide, what has the zionest state succeeded in?

Frankly, it succeeded in one thing: it showed its army as the dirtiest, most despicable, cowardly, and weakest army in the world...
And it also succeeded in another thing: it crafted its own coffin... and all that's left is to hammer the nails in...
And it succeeded in a third thing: it exposed the masks of its spies among the rulers and others, making it easier to hold them accountable after the flood...

• Staying resilient for a full six months means that the enemy has utterly failed in achieving its goals and does not possess the means to make any difference in the battle. It has used all forms of filth and brutality... and earned the title of the dirtiest, most despicable, and cowardliest army in the world.

Comrade Haitham al Haddad
 
Uhur gan unapigania ww dada 😂😂 mchango Gani ww unautoa kwenye kupigania uo uhuru unajulikana wap ww je umefika hatua gan hadi sasa uyo osama wa hamas hata anakujua je hapa tz ushawai simama barabarn umebeba hata bango la free Palestine au kujulikana Jf unavimba et unapigania uhuru uko humu kupasha watu habari. Ndio kazi Yako endelea nayo sio useme umepigania uhuru ww na Mandela ni sawa maana yeye alipigania ww umepigania wa wapi tuweke sanam Yako pale posta
Kwa majibu yako tu, imedhihirisha kuwa kazi niifanyayo imefanikiwa.
 
We kwa akili yako fupi unaona Israel kashindwa vita 😊

Sio mimi tu siamini nadhani hata palestina hawaamini
Maelfu ya watu wamepelekwa peponi bila kupenda
 
Tunaamini Sana Propaganda Zinazoenezwa Na Israel Lakini Kiukweli Palestina Sio Underdog Kwa Israel,Wazayuni Wanakiona cha Moto
 
Propaganda zingine za kisenge kweli!
Hivi wewe kwa umri wako hujui kutofautisha kati ya "hatujafikia malengo na kushindwa kbs?? Kwani vita imeisha??

Ndgu zako ktk Imani wameteketezwa makumi kwa makumi na wengine Bado wanateketezwa lkn wewe umekalia propaganda tu.

Sasa kwa akili zako nani kapoteza kwenye hiyo vita ya Gaza?
Mpuuze kibibi kizee hicho chuki zinamtesa. Waisrael wamechukua ardhi ya gaza zaidi ya eka 980 na wamepitisha kujengwa kwa makazi ya walowezi yeye analeta propaganda. Mtu achezee kichapo na huku anateka ardhi yako inaingia akilini kweli?
 
Back
Top Bottom