Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,365
- 30,600
Allahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA
View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
Hapa ni narrative, malengo yao hayajafanikiwa na si kwasababu hamas ni wazuri but idadi ya raia wasio na hatia wanao uwawa and lastly wana loose international support kwa speed ya 4g