Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,977
32,385
Wanakumbi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:

Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza.
Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano kuchunguza pendekezo jipya la Qatar la makubaliano ya kuwaachila mateka na kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, kulingana na ripoti nyingi. Ofa hiyo ilisemekana kwenda zaidi ya makubaliano ya muda, kutoa ramani ya njia ya kumaliza vita ambayo inajumuisha viongozi wa Hamas kwenda uhamishoni na Israeli kuondoa wanajeshi wake kutoka Ukanda huo.

Kulingana na ripoti za chaneli 12 na 13, Ynet na vyombo vingine, pendekezo la "awali" kutoka Doha lingeona Israeli ikiwaruhusu viongozi wa Hamas kuondoka Gaza badala ya kuachiliwa polepole kwa mateka wote waliosalia, pamoja na Jeshi la Ulinzi la Israeli. kuhitimisha mashambulizi yake.

 
Bungo linatemwa kitaalamu sana awamu hii wenzao Hamas washapata moto wao ndiyo kwanza wameanza kurudi nyuma.

Unafanya mchezo na Gaza Netanyahu alisema hawezi kuondoka Gaza mpaka waifute Hamas Baba yao Marekani kawambia Hamas hamuwezi kuifuta dawa ni kuondoka Gaza.
 
Kwa hili niseme watu mnyaaaazi mko taabani kwa conspiracy...............we Netanyahu umepigaje hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20240110_224149_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20240110_224149_Samsung Internet.jpg
    248 KB · Views: 6
ISRAELI DELEGATION REPORTEDLY IN CAIRO TO DISCUSS THE RELEASE OF MORE HAMAS CAPTIVES
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Kituo cha 13:

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:

"Haiwezekani kuiondoa Hamas katika hali yake ya sasa."

Blinken pia alisema katika mkutano wa baraza la vita kwamba Wapalestina wana matamanio na lazima wayakubali.

Megatron: Netanyahu sasa ana pendekezo la wazi mezani kutoka Marekani: "Sitisha moto na taifa la Palestina" au vita kwa kiwango cha kikanda ambavyo hakika utashindwa na Marekani haitaweza kukulinda.

t.me/megatron_ron
 
Netanyahu will go for "war on a regional scale that you will surely lose and the US won't be able to protect you." - less jail time
 
Bi mkubwa we inaonekana kwenye midundiko unakuwaga mbele kabisa tena bila viatu.
Unawajua Hamas wewe au basi tu JF hakuna kiingilio ndo manaa unapayuka tu.

Kila mpenda Haki ni Hamas. Hamas sio kundi la wanywa viroba km wewe.

Pata elmu kidogo
Teh teh teh

Waisrael weusi akili zao ni kama nguchiro tuh,hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya kufuata mkumbo tuh,ndiyo maana mwamposa anawauzia mchanga daily pale teh teh teh
 
Back
Top Bottom