Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,347
- 23,757
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani.
Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya kwa weledi na kwa ubora wa hali ya juu sana. Ni mtu anayeipa Thamani Kazi. Embu angalia tangia akiwa kiongozi wa wanafunzi ,Mjumbe wa Bunge maalumu la katiba ,Mkuu wa Wilaya ,Mkuu wa Mkoa,Mwenezi wa CCM Taifa ,Mkuu wa Mkoa Tena,Mbunge na sasa Waziri ndani ya Baraza la Mawaziri la Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ni mtu ambaye ameacha alama kila alipopita na kupewa nafasi . Ni kiongozi anayejifunza na kubadilika kwa haraka kulingana na mazingira. Yaani huyu Mwamba ana sifa zote za kijasusi na Kikomandoo ambapo ukiwa jasusi ama komandoo ama mwanajeshi uwapo katika mapambano ama hatari ama mapigano unapaswa kubadilika haraka sana kulingana na mazingira na hali iliyopo na kutoka salama ama kuwatoka maadui bila kuacha alama.
Huyu Mwamba unaweza kusema amejaaliwa akili na kipawa cha Uongozi na Mungu mwenyewe,. Alizaliwa kuwa kiongozi na kuongoza watu. Picha yake ama Kimvuli chake kinaweza kuongoza watu hata kama yeye amekaa nyumbani kwake. Maana huyu Mwamba hata kama hayupo unaweza kuhisi bado yupo karibu yako na anatazama unachokifanya.
Embu fikiria alipokuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam alikuwa akiunguruma Dar es salaam unaona Nchi nzima inatambua kuwa Mwamba kazungumza kutoka Dar na anakuwa gumzo mitandaoni. Huyu Mwamba ni kama Taasisi vile. Yaani yupo Fulu pakeji. Anakupatia unachotaka katika uongozi wako.
Yaani ni kama kiraka vile. Anakaa popote pale na kukupa matokeo unayotaka.anaweza kucheza namba zote bila kuchoka wala kupunguza mwendo na kasi.
Katika muendelezo wake na utamaduni wake wa kuchota baraka Ameweza kuonana ana kwa ana na Mkuu wa majeshi mstaafu jenerali Venance Mabeyo. Ambapo Amepongezwa kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao umefanya watu wa Arusha kumuamini na kumpatia ubunge ili awatumikie. Lakini pia kuweza kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na kumteua kuwa Waziri Kamili.
Jenerali Venance Mabeyo amemtaka na kumsihi Mwamba kutomuangusha Mheshimiwa Rais na badala yake afanye kazi vyema ,kwa kuwa wananchi wana matumaini na matarajio makubwa sana naye.
Jenerali Venance Mabeyo amesema anamuamini sana Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na anaamini atatimiza matarajio ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka , shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia.
Kwa hakika Mimi Lucas Hebel Mwashambwa namuona Mwamba akiendelea kung'aa na kupaa zaidi kiuongozi zaidi ya hapo alipo kwa siku zijazo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.