Mkuu MziziMkavu Akiwajibika....!!!!

Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula
 
Ukiweka vipodozi:-sukari,blueb band,cocoa harufu yote inaisha....ng'ande my favorite food...
 
Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula

Nilikua naweka urafiki na watu kama nyie ili nami nijihakikishie mambo mazuri. Umesahau nido hapo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…