donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha shule. Hahahah
heheh hua ni wakare saana!Dhuuu hao maanko ni wapishi wazuri sana...nmekumbuka shule
mhhhh mahabati wangu hujui kande??? ntakoma walai ni mchanganyiko wa mahindi na maharageKumbe hiyo ndio kande?
Ni mchanganyiko wa nini?
si unajua mkuu kukata maniaje!Vitu kama hivi shuleni vilikuwa havikosi mafuta ya taa kwa mabali....!!!
Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula
da farkhina ni mchanganyiko wa maharage na mahindi.
mhhhh mahabati wangu hujui kande??? ntakoma walai ni mchanganyiko wa mahindi na maharage
Toba weee...tamu?
hata mtindi sio mbaya, jaribuNdo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula