Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Kumbe hiyo ndio kande?
Ni mchanganyiko wa nini?
kwa taarifa yako ukila makande HUSHIBI ILA UNACHOKA KUTAFUNA TU
Kumbe hiyo ndio kande?
Ni mchanganyiko wa nini?
ni kama mwiko ni kubwa kuliko chungu au sioni vizuri?
Kumbe hiyo ndio kande?
Ni mchanganyiko wa nini?
Dhuuu hao maanko ni wapishi wazuri sana...nmekumbuka shule
Aisee makande huwa sishibi hata sielewi, ktk vyakula vyote makande nimeshindwa.
Unaishi wapi...!?
Nilikua naweka urafiki na watu kama nyie ili nami nijihakikishie mambo mazuri. Umesahau nido hapo!
hata mtindi sio mbaya, jaribu
hii lazima itakuwa boding skul dah kande lilale afu asubui ulishushie na uji dah wee acha tu
Umesahau na pilipili kwa ajili ya apetize.Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula
Kumbe na ninyi mlikua mnawaita maanko..hahaha
da farkhina ni mchanganyiko wa maharage na mahindi.
Hata kwa achari ya pilipili inapendeza tuhata mtindi sio mbaya, jaribu