Kande na peanuts butter

Kande na peanuts butter

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,172
Reaction score
18,371
Pika kande lako liive vizuri ,nunua maarage mazuri (mapya) ambayo hayajakaa dukani sana ambayo ni ya zamani yana rangi ya kahawi hayatakupa matokeo mazuri


Ukishayapika yakiiva unga kawaida weka nazi(sio lazima)
Uje uweke peanut butter wakati unaweka kwa sahani sahani kijiko kimoja cha peanut
Unaweza chemshia ila haileti huu utamu vizuri
Mi sio mpenzi wa kande katika kujitafuta namna ya kulila nikaipata hii
Yanakua matamu sana
 
Snapchat-303546001.jpg

Kande liwekwe peanut na sukari 🔥🔥🔥😋😋😋😋
Nimeipika leo njoo 😁😁
 
Back
Top Bottom