Mkuu MziziMkavu Akiwajibika....!!!!

Mkuu MziziMkavu Akiwajibika....!!!!

Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula

Kwamara ya kwanza ndo nimefika shule kuona huo mchanganyo nilikuwa nawashangaa ila baadae nami nikazoea...ah kande na parachichi tamu sana
 
Enzi za 2000 Kigonsera Sec.School hiyo a.k.a CAIGO,pamoja ndugu zangu.
Weeee kijana mbona unaniamsha usiku wote huu kwa kutaja kwako Caigo. Enzi zetu miaka ya 80 hakukuwa na hiyo kitu. Sana sana mihogo pale geza
 
Vitu kama hivi shuleni vilikuwa havikosi mafuta ya taa kwa mabali....!!!
Nasikia hiyo makitu ilikuwa inawekwa kupunguza mihemuko ya ngono ili tuweze kupiga shule vizuri, sijui ni kweli? Ngoja waje wajuaji......!
 
hii picha ni kibaha sec Hapo kama sijakosea mkuu donlucchese,walikuwa wanaweka Mafuta ya taaa kukata libido
 
hapo kama Ifunda Technical jikoni wadau!!
 
Back
Top Bottom