Huyu mnyama leo nimemuona mjini hapa

Hardlife

JF-Expert Member
Apr 11, 2021
2,750
6,247
Ndinga moja matata sana.
Screenshot_20240217_162850_Gallery.jpg
 
Unashindana na mademu kusifia vitu vya wanaume wenzio
Hauwezi kufika bila tamaa. Pia, kama hauna passion n magari hauwezi kumuelewa jamaa. Mshkaji anaijua thamani ya hilo ndinga, kuliona kunampa hamasa. Ila kwa wengine, hilo ni gari tu kama ist. Ninaamini ipo cku tu jamaa atakuja kumiliki new model ya hilo. Maana anajua thamani na pride ya kumiliki chombo brand new kama icho. Ila Wenetu wa kizimkazi, pambaneni mje kununua vits au rava4, maana kwenu gari ni gari tu.
 
Hauwezi kufika bila tamaa. Pia, kama hauna passion n magari Hauwezi kumuelewa jamaa. Mskaji anaijua thamani ya hilo ndinga, kuliona kunampa hamasa. Ila kwa wengine, hilo ni gari tu kama ist. Ninaamini ipo cku tu jamaa atakuja kumiliki new model ya hilo. Maana anajua thamani na pride ya kumiliki chombo kama brand new kama icho. Ila Wenetu wa kizimkazi, pambaneni mje kununua vits au rava4, maana kwenu gari ni gari tu.
Mkuu naona umeandika kwa hisia sana. Nilikuwa namzingua mwana tu
 
Back
Top Bottom